Ni wazi kuwa hawakuwa na uhalali wa kuwa wabunge. Hakuna credit ya kisiasa mliyopata kwa kuwafukuza. Uraiani kuna political gain yoyote mtaambulia?

Rubbish statement

Kumsamehe mkeo kila unapomfumania hakuhalalishi wanaume wote wawasamehe wake zao wanapowasaliti.
We kubaliana na ukweli kuwa umeoa malaya na huna cha kumfanya
 
Democracy is messy, and it's hard. It's never easy.but time will tell how long they will be wabunge
 
Hiyo political gain unayoisema muanzisha uzi waipeleke huko ccm. Waambie waanze kuandamana sasa na wewe na wajinga wenzako mkaandamane nao.
 
Wajifunze ukomavu wa siasa kutoka CCM,
kina mapungufu yake lakini hakina maamuzi ya hovyo Kama CHADEMA
Wakaribisheni sasa muwape huo ubunge huko ccm kwenu. Walijua Magufuli angeishi milele.
 
Muulize Nape Nnauye vizuri "eti chama kimerudi kwa wenyewe baada ya Magufuli kufa/kuuawa , hao wenyewe ndio akina nani!? Akishakujibu ufunge hilo bakuli lako.
 
Chama cha Familia ni CCM kwa sababu Hivi sasa viongozi wake wengi ni watoto au ndugu wa waliokuwa viongozi sina haja ya kutaja majina
 
Muulize Nape Nnauye vizuri "eti chama kimerudi kwa wenyewe baada ya Magufuli kufa/kuuawa , hao wenyewe ndio akina nani!? Akishakujibu ufunge hilo bakuli lako.
Doesnt matter. Je, kuna political gain mmeipata baada ya kuwatimua akina Mdee?
 
Doesnt matter. Je, kuna political gain mmeipata baada ya kuwatimua akina Mdee?
Swali la kijinga tu hili. Political gain unayoitaka wewe ni ipi!? Hapa ni heshima kwa taratibu za chama ndizo zilizolindwa. Otherwise wewe utakuwa ni mpumbavu mmoja tu unayeuliza maswali ya kipumbavu.
 
Una upuuzi mwingine wa ku share au ndo huu huu?
 
Utaratibu
Utaratibu...
Hata hapa JF ukikosea utaratibu unapigwa ban. Na si kwamba ukipigwa ban mtaani watafurahia sana.
Fundisheni watu kufuata utaratibu!!
 
Ni wapi walikwambia wanataka kupata jipya kisiasa kwa kuwafukuza hao covid 19?. Si nyie mlikua mnasema hawawezi kuwafukuza? Sasa wameshafukuzwa kaeni kwa kutulia au mwende mkawafariji.
 
CHADEMA kinapotea rasmi kwenye ramani nawaambia.
Subiri timbwili la majina mapya uone mahawara wanavyopeta.

Unazungumziaje uwepo wa familia ya Kikwete, mtoto wa Pinda, Lowassa nk huko bungeni tena kwa uchaguzi wa kihayawani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…