Ni wazi kuwa hawakuwa na uhalali wa kuwa wabunge. Hakuna credit ya kisiasa mliyopata kwa kuwafukuza. Uraiani kuna political gain yoyote mtaambulia?

JE wao kuwepo Bungeni Chadema ilipata nini kwa Wananchi

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 

Huyo Pascal anatafutaga teuzi za kubeti kitambo, ni ulofa wa kinafiki kabisa anafahamu utawala ulifanya Mambo ya kishenzi halafu anajitia unafiki kuunga hoja...hivyo hivyo wakati wa magufuli alikuwa anashabikia hoja za kujipendekeza ooh makonda mbadala wa magufuli waliamini utawala wao will last longer so wakiweka unafiki wa kujipendekeza kwa hoja na uchangiaji mada kipumbavu...go to hell guys...alafu tutegemee viongozi,waandishi, wanasiasa bora kariba ya hii ya kushabikia utawala wa mambo ya kishenzi ya kupeleka wabunge kwa kughushi wanatafuna pesa za taifa, za wananchi halafu unaingia ushabiki matope kichwani Kama Spika andunje anayekenua meno Kama anapigwa baridi, bichwa matope Mahera na yule marehemu.
 
Naunga mkono hoja
P
P kuna wakati unakuwa biased. Unajua wamefuata utaratibu si ndiyo. Watakuja wengine.
Sema ukweli chadema kilipaniwa kuuwawa kabisa na mwenda zake na maradicle wa ccm kama sabaya. Hakijapanga kujimaliza ila wapo waliopanga kife kabisa na wanafahamika.
Mama Samia hapendi kabisa cdm kife jitihada zake zinaonekana na zile za Magu zinaeleweka. Huo ndio ukweli. Acha wa hukue hatua
 
CCM kwenye suala hili la Wabunge 19 waliofukuzwa na Chadema inawatetea sana wakati CCM haipendi wapinzani, unajiuliza kuna Nini? Kuanzia Magufuli ndiye aliyewaingiza mmoja kamtoa jela usiku, Ndugai kawapa ulinzi wasiguswe, KUNA NINI? Au kwa vile Jumuia ya Mabunge chama kinachotawala kisiongoze kamati za bunge, kwa vile Magufuli alitaka bunge la Chama kimoja akafaulu lakini akaona amekiuka taratibu za Jumuia ya Mabunge duniani Sasa akawaweka hawa 19 kukidhi matakwa? Bila hivyo hivi CCM Hawa wasiotaka upinzani wanaweza kuwa watetezi wa hawa 19 kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…