Ni wazi sasa Polepole yuko kwenye mapambano rasmi

Utashangaa wanamtuma Lucas Mwashambwa kuja kumjibu
 
Ntakua mtu wa Mwisho kumuamini polepole km nilivyokua mtu wa kwanza kumkataa freeman mbowe.
 
Hv
Hv we akili zako umemwachia nani? Polepole atapambana na nani? Anapambana kwa njia ipi wakati hajulikani yupo wapi, huyo ni sawa na msukule. Nna wasiwasi hz video mnazitengeneza nyie
 
Wewe ni mu Ethiopia?
 
Kuna wakati nilidhani kuwa ana bombshell kuuuuubwa, lakini kumbe ni kama vile mtu mwenye ugonjwa wa akili. Eti bomu lake lilikuwa kufichua mfumo wa uchaguzi ambao aliutengeneza yeye mwenyewe na kuutumia yeye mwenyewe kuhusu namna walimsaidia JPM kushinda uchaguzi 2020. Na sasa hivi hana uhakika kama mfumo huo bado upo na utatumika kwenye uchaguzi wa 2025. Sasa hilo ni bomu gani zaidi ya kujitekenya na kucheka mwenyewe?. Lazima atafutwe, akamatwe na kupelekwa mahakamani ili akafanye yafuatayo:
1. Akaithibitishie mahakama kama maneno yake ni kweli kuwa yeye alisanifu na kutumia mfumo huo ovu.
2. Akaonyesha pahala ulipo
3. Akaonyeshe namna ulivyotumika kuhamisha kura zilizotumbukizwa klwenye masanduku ya kura, kuhesabiwa na kujumlishwa na manually na kupandishwa kwenye mfumo huo
4. Alikuwa na nani kwa maagizo ya nani kutengeneza mfumo.
5. Kama alisema uongo aseme kwanini alisema uongo.

Anaemuona Polepole ndiye shujaa wake basi nae ni kama Polepole tu, wanatapatapa wote.
 
Hv
Hv we akili zako umemwachia nani? Kila unachoandika ni uchafu na upuuzi, Polepole atapambana na nani? Anapambana kwa njia ipi wakati hajulikani yupo wapi, huyo ni sawa na msukule. Nna wasiwasi hz video mnazitengeneza nyie mazombie
Mbona unahangaika sana? Wewe lazima utakuwa ni mmojawapo katika wale maninja mliomvamia dada yake Polepole kwa nia ya kumteka. Subiri siku mtakapoanikwa wote.

Unaruhusiwa kunitukana kwani ni wazi hukupata malezi bora na matokeo yake ndiyo hayo.
 
Mwandiko wa Singasinga huu:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…