Mitanzania badala ya kumuunga mkono Polepole iko kimya tu. Ubinafsi & unafiki, ujinga na umasikini wa kifikra Inafanya taifa litafunwe na wenye akili.Moto huku, moto kule🔥
Hizo 400,000,000 metric tons kwa mauzo ya makaa ya mawe ambapo 1 metric tone = dola 120 (app.):
=> 400,000,000 × 120$
=> 124,800,000,000,000!!! (trilioni 125 TZS)
Tunaweza kufuta deni LOTE la taifa la 107T na zikabaki pesa kibao!!!
Imagine sasa buying price yake ya only 4B TZS!!!
😅😅 VATCAN moya hiyo, Kajidhatiti kweli kweli, maana jamaa ni mamafia kweli kweli ma mkono wao unafika sehemu nyingi ikija swala la maslahiMwamba atakuwa VATCAN nn? Sio JESUIT kweli?
Ukweli huwa haujibiki, ndo maana wako kimya. Na kwa sasa wajinga wanafarijiwa eti hakuna haja ya kumjibu mtu mjinga eti Polepole ili hali mijitu inayofarijiwa ndo mijinga na mazwazwa.Kumeanza kuchangamuka, hoja zake CCM hawawezi kuzijibu Ila wanarespond Kwa mabadriko ndani ya chama na serikali
Nimemsikiliza kiumakini sana hii press yake kuna kitu nimegundua kinakuja Tanzania!Kuna kitu vijana wa Lumumba hawajakiona! Hakuna mpaka sasa kiongozi prominent wa ccm aliyejaribu kumjibu Polepole.. Maana ni wazi hoja zake hazijibiki kwakuwa zimejaa facts tupu
Wanaojaribu kumjibu kwa dhihaka na kejeli wanapoteza tu muda wao.. Pole pole is gaining grounds na yuko very well organized na very systematic! Kumpuuza kwa sasa ni kujipuuza
Anatoa dondoo ambazo akiendelea nazo hivyo mpaka September katikati watanganyika wataishiwa upole na kuvumilia..
Anadonyoa kidogo kidogo lakini chenye uzito wake kwa kila pigo ama kwa kila mng'ato!
Madai yake ya msingi ni rahisi kutamkika lakini ngumu sana kuyatimiza kwa vitendo
1. Kusimamisha mchakato wa uchaguzi na kuurudia upya ili kupata wagombea halali.. Hapa hata nafasi ya urais inahusika
2. Kuliondoa kwenye mfumo kundi la wana mtandao anaowaita wahuni na kuweka ithibati
3. Kurudia na kusisitiza CHADEMA waruhusiwe kufanya siasa kwakuwa ni haki yao kikatiba na TUNDU LISSU aachiwe huru bila masharti yoyote
Kwa kifupi Polepole anasema NO REFORMS NO ELECTION kwa maneno mengine! Lakini pia kuna vitu anaendelea kutufumbua macho na kuchochea watanganyika kuchukua hatua!
Kwa press yake ya usiku huu aliyofanya baada ya kumtegea mzima swichi alale kuna jambo kubwa linapangwa! Na hayuko pekeyake!
View: https://www.youtube.com/live/tcNQ0ZEdV8c?si=-9eFaA97KzrqIiJT
Madhara ya kuizuia CHADEMA isifanye siasa na kumfunga kiongozi wake ndio haya!
Sasa ni ngumu kumdhibiti Polepole kama ilivyo rahisi kumdhibiti Gwajima na CHADEMA!
Episodes zijazo kuna uwezekano mkubwa wa
1. Kutajiwa watekaji kwa majina
2. Kutajiwa waliotekwa wako wali
3. Siri za mtandao kuzidi kuanikwa
Msikilize kuhusu manunusi ya migodi ya Almasi na makaa ya mawe kisha amua kusafirisha ama kuzika... Ila in short ameamua kwenda front!
Sawa, tuambie wewe ukweli wake kuhusu mgodi wa makaa ya mawe na mwadui nani anamiliki hizo share na zilinunuliwa kwa shs ngapi na lini???Polepole ni Mwongo haaminiki
Nyinyi hangaikeni na kelele zenu baada ya roho kushiba chuki,samia 2030,mwinyi 2030-40
Almasi pale Mwadui ilikuwa inachimbwa kabla ya uhuru, wakati wa Nyerere, Mwinyi, Mkapa, JK, Magufuli na Samia sasa. kama almasi ilikuwa na thamani hivyo kwanini wanafunzi walikuwa wanakaa chini madarasani? kwanini Maguli na Polepole hawakutafuta mwekezaji bora kuliko Roatam Aziz. Anawadanganya wapumbavu kama yeye. Bomu lake kubwa alilokuwa akiliamini ni mfumo wa uchaguzi aliosema ameutengeneza yeye, batati mbaya watu wooooote wamempuuza na hata yeye anashangaa kwanini wamempuuza kiasi hiki.Kuna kitu vijana wa Lumumba hawajakiona! Hakuna mpaka sasa kiongozi prominent wa ccm aliyejaribu kumjibu Polepole.. Maana ni wazi hoja zake hazijibiki kwakuwa zimejaa facts tupu
Wanaojaribu kumjibu kwa dhihaka na kejeli wanapoteza tu muda wao.. Pole pole is gaining grounds na yuko very well organized na very systematic! Kumpuuza kwa sasa ni kujipuuza
Anatoa dondoo ambazo akiendelea nazo hivyo mpaka September katikati watanganyika wataishiwa upole na kuvumilia..
Anadonyoa kidogo kidogo lakini chenye uzito wake kwa kila pigo ama kwa kila mng'ato!
Madai yake ya msingi ni rahisi kutamkika lakini ngumu sana kuyatimiza kwa vitendo
1. Kusimamisha mchakato wa uchaguzi na kuurudia upya ili kupata wagombea halali.. Hapa hata nafasi ya urais inahusika
2. Kuliondoa kwenye mfumo kundi la wana mtandao anaowaita wahuni na kuweka ithibati
3. Kurudia na kusisitiza CHADEMA waruhusiwe kufanya siasa kwakuwa ni haki yao kikatiba na TUNDU LISSU aachiwe huru bila masharti yoyote
Kwa kifupi Polepole anasema NO REFORMS NO ELECTION kwa maneno mengine! Lakini pia kuna vitu anaendelea kutufumbua macho na kuchochea watanganyika kuchukua hatua!
Kwa press yake ya usiku huu aliyofanya baada ya kumtegea mzima swichi alale kuna jambo kubwa linapangwa! Na hayuko pekeyake!
View: https://www.youtube.com/live/tcNQ0ZEdV8c?si=-9eFaA97KzrqIiJT
Madhara ya kuizuia CHADEMA isifanye siasa na kumfunga kiongozi wake ndio haya!
Sasa ni ngumu kumdhibiti Polepole kama ilivyo rahisi kumdhibiti Gwajima na CHADEMA!
Episodes zijazo kuna uwezekano mkubwa wa
1. Kutajiwa watekaji kwa majina
2. Kutajiwa waliotekwa wako wali
3. Siri za mtandao kuzidi kuanikwa
Msikilize kuhusu manunusi ya migodi ya Almasi na makaa ya mawe kisha amua kusafirisha ama kuzika... Ila in short ameamua kwenda front!
bro yaani hatuna muda wa kujibu mpumbavu kama polepole anayeota awamu ya magufuli anaona sasahivi ulaji wake umepungua kwanini hatuambii waliyokua wanafamya na jpm? hatuna muda mchafu wa kujibu wapumbavu ndiyo maana tunaendelea na uchaguzio kama kawaida yaani aongee apasuke uchaguzi uko palepale na MTAHENYA MWAKA HUUKuna kitu vijana wa Lumumba hawajakiona! Hakuna mpaka sasa kiongozi prominent wa ccm aliyejaribu kumjibu Polepole.. Maana ni wazi hoja zake hazijibiki kwakuwa zimejaa facts tupu
Wanaojaribu kumjibu kwa dhihaka na kejeli wanapoteza tu muda wao.. Pole pole is gaining grounds na yuko very well organized na very systematic! Kumpuuza kwa sasa ni kujipuuza
Anatoa dondoo ambazo akiendelea nazo hivyo mpaka September katikati watanganyika wataishiwa upole na kuvumilia..
Anadonyoa kidogo kidogo lakini chenye uzito wake kwa kila pigo ama kwa kila mng'ato!
Madai yake ya msingi ni rahisi kutamkika lakini ngumu sana kuyatimiza kwa vitendo
1. Kusimamisha mchakato wa uchaguzi na kuurudia upya ili kupata wagombea halali.. Hapa hata nafasi ya urais inahusika
2. Kuliondoa kwenye mfumo kundi la wana mtandao anaowaita wahuni na kuweka ithibati
3. Kurudia na kusisitiza CHADEMA waruhusiwe kufanya siasa kwakuwa ni haki yao kikatiba na TUNDU LISSU aachiwe huru bila masharti yoyote
Kwa kifupi Polepole anasema NO REFORMS NO ELECTION kwa maneno mengine! Lakini pia kuna vitu anaendelea kutufumbua macho na kuchochea watanganyika kuchukua hatua!
Kwa press yake ya usiku huu aliyofanya baada ya kumtegea mzima swichi alale kuna jambo kubwa linapangwa! Na hayuko pekeyake!
View: https://www.youtube.com/live/tcNQ0ZEdV8c?si=-9eFaA97KzrqIiJT
Madhara ya kuizuia CHADEMA isifanye siasa na kumfunga kiongozi wake ndio haya!
Sasa ni ngumu kumdhibiti Polepole kama ilivyo rahisi kumdhibiti Gwajima na CHADEMA!
Episodes zijazo kuna uwezekano mkubwa wa
1. Kutajiwa watekaji kwa majina
2. Kutajiwa waliotekwa wako wali
3. Siri za mtandao kuzidi kuanikwa
Msikilize kuhusu manunusi ya migodi ya Almasi na makaa ya mawe kisha amua kusafirisha ama kuzika... Ila in short ameamua kwenda front!
HIVI HAMUONI NI UPUMBAVU MNAFANYA ? MNAPIGAN KELELE LAKINI HAKUNA WA KUWAJIBU MTAONGEAMWISHO MTAMALIZA MANENO MTAKAA KIMYA MBWA NYIEKuna kitu vijana wa Lumumba hawajakiona! Hakuna mpaka sasa kiongozi prominent wa ccm aliyejaribu kumjibu Polepole.. Maana ni wazi hoja zake hazijibiki kwakuwa zimejaa facts tupu
Wanaojaribu kumjibu kwa dhihaka na kejeli wanapoteza tu muda wao.. Pole pole is gaining grounds na yuko very well organized na very systematic! Kumpuuza kwa sasa ni kujipuuza
Anatoa dondoo ambazo akiendelea nazo hivyo mpaka September katikati watanganyika wataishiwa upole na kuvumilia..
Anadonyoa kidogo kidogo lakini chenye uzito wake kwa kila pigo ama kwa kila mng'ato!
Madai yake ya msingi ni rahisi kutamkika lakini ngumu sana kuyatimiza kwa vitendo
1. Kusimamisha mchakato wa uchaguzi na kuurudia upya ili kupata wagombea halali.. Hapa hata nafasi ya urais inahusika
2. Kuliondoa kwenye mfumo kundi la wana mtandao anaowaita wahuni na kuweka ithibati
3. Kurudia na kusisitiza CHADEMA waruhusiwe kufanya siasa kwakuwa ni haki yao kikatiba na TUNDU LISSU aachiwe huru bila masharti yoyote
Kwa kifupi Polepole anasema NO REFORMS NO ELECTION kwa maneno mengine! Lakini pia kuna vitu anaendelea kutufumbua macho na kuchochea watanganyika kuchukua hatua!
Kwa press yake ya usiku huu aliyofanya baada ya kumtegea mzima swichi alale kuna jambo kubwa linapangwa! Na hayuko pekeyake!
View: https://www.youtube.com/live/tcNQ0ZEdV8c?si=-9eFaA97KzrqIiJT
Madhara ya kuizuia CHADEMA isifanye siasa na kumfunga kiongozi wake ndio haya!
Sasa ni ngumu kumdhibiti Polepole kama ilivyo rahisi kumdhibiti Gwajima na CHADEMA!
Episodes zijazo kuna uwezekano mkubwa wa
1. Kutajiwa watekaji kwa majina
2. Kutajiwa waliotekwa wako wali
3. Siri za mtandao kuzidi kuanikwa
Msikilize kuhusu manunusi ya migodi ya Almasi na makaa ya mawe kisha amua kusafirisha ama kuzika... Ila in short ameamua kwenda front!
2. PROLETARIATWanaweza kutumika na tabaka la juu wakati wa kampeni au vurugu za kisiasa.
3. PETIT BOURGEOISIEHawa ndiyo “tabaka la kazi” kwa Marx – ndio wanaotengeneza faida lakini hawanufaiki moja kwa moja.
4. BOURGEOISIEWapo kwenye hatari ya kushushwa hadi tabaka la chini au kupanda juu – kutegemea mitaji, soko na uthubutu.
5. ARISTOCRACYHawa wanaajiri wengine, hawajishughulishi sana – hela inafanya kazi badala yao.
Hitimisho:Wana nguvu kutokana na historia, siyo kazi au biashara tu.
Wewe mjinga hujui hata historia ya mgodi wa almasi shinyanga? Nyerere aliongoza nchi kwa kutegemea huo mgodi tu na watu walisoma Bure mpaka nje ya nchi alafu wewe unatuletea blaablaa zako hapo huku ujkujidai mkristo nani alieuliza dini yako? Au hoja za polepole zinausiana na Dini wapi?Almasi pale Mwadui ilikuwa inachimbwa kabla ya uhuru, wakati wa Nyerere, Mwinyi, Mkapa, JK, Magufuli na Samia sasa. kama almasi ilikuwa na thamani hivyo kwanini wanafunzi walikuwa wanakaa chini madarasani? kwanini Maguli na Polepole hawakutafuta mwekezaji bora kuliko Roatam Aziz. Anawadanganya wapumbavu kama yeye. Bomu lake kubwa alilokuwa akiliamini ni mfumo wa uchaguzi aliosema ameutengeneza yeye, batati mbaya watu wooooote wamempuuza na hata yeye anashangaa kwanini wamempuuza kiasi hiki.
Hawa wafanyabiashara Dewji, Azam, Rostam na GSM walikuwepo hata wakati wa Nyerere, Mwinyi, Mkapa, JK, magufuli na sasa Samia, na biashara zao ni hizihizi. Polepole anafikiri watu wote ni wajinga kama yeye. Anadhani wakristo ni wajinga kama yeye na Gwajima. Anadhani kuwa serikali ya CCM ni serikali ya waislamu watupu; nakusahau kuwa wakristo wengi ndiyo wako serikalini kuliko waislamu, ndiyo wanufaika wakubwa maofisini na kwenye vitengo kuliko waislamu. Anadhani wakristo hawajui hilo. Anadhani wakristo hawajui kuwa sadaka haitakusanywa kama kutakuwa na machafuko.
Watanzania wenye akili walau ya D mbili tu wanafahamu kuwa Gas yetu, makaa yetu, uranium yetu na madini yetu mengine kama Nickel, helium, na dhahabu vinatafutwa na nchi za magharibi kama ilivyo Congo, Msumbiji, Nigeria, Burkina Faso, Niger, Mali, nk. Watu wetu akina Polepole na wengine wanaweza kutumika na nchi za magharibi.
Polepole na genge lake la akina Gwajima na wale wazee walimkataa Samia asiwe Rais hata bila kujua ataweza au hataweza. Walishangaa sana kuona aliweza na kupitiliza matarajio. Kama ulipinga kuapishwa kwa mujibu wa katiba ili awe Rais wewe huwezi kufurahia kugombea Urais, tayari una conflict of interest. Ndiyo maana wanakupuuza kwa kila unalosema, labda uwadanganye watoto wa shule ya msingi.
Au sio. Hapo kumteka itakuwa kipengele🤣That means jeshini😎
Falsafa ya kibabe!"Not every withdrawal is a defeat."View attachment 3452019
Kazi za kitumwa,kutweza utu ni kugusa tu. Mtu anaweza kudhani amekula kumbe ameliwa!Anatokea kijana wa TAHLISO ku battle na huyu mwamba, asee yule kijana nilikua namshangaa sanaa kwa sababu hajiulizi watu wanao mpa nguvu kwanini wenyewe hawajitokezi hadharani.
Sounds relevant.Thanks!Not this time.
Either Polepole's movement will succeed or the country will break into civil unrest or call it civil war.
Expect the unthinkable like what happened to the famous three west African countries close to the desert.
Kajichimbia kama Osama 😄Kwani hizi missiles anazifyatua akiwa ndani ya Tz au nje ya nchi?🤔🤔
Ni wazi haukuwepo au ulikuwa mtoto mdogo enzi za Nyerere😂… Nyerere aliongoza nchi kwa kutegemea huo mgodi tu…