Ni wazi sasa Polepole yuko kwenye mapambano rasmi

Mh Polepole, sisi Watanzania tuliowengi tuko pamoja na wewe. Mungu azidi kukulinda na kukusimamia, tutashinda.
Sina shaka hata chembe kuhusu ushindi wa waTanzania.

Ubovu wa uongozi wa Samia Suluhu Hassan umetoa nafasi ya kipekee sana kwa nchi yetu kujirekebisha tena..

Samia akilazimisha kubaki madarakani kwa nguvu atambue atapasuka msamba.
 
Kwa sababu ya uoga wetu, one man show ya slow slow haifiki popote
Hii siyo "one man show" tena kama unavyo fikiri wewe. Unaishi wapi hadi usione msisimko uliopo nchini sasa hivi. Hao viongozi wa dini na waumini wao na wao huwaoni, au unataka kila mTanzania aingie barabarani akilia ndipo utambue kuwa hii siyo "show_ tena!
Kila mtu atachangia sasa kivyake atakavyo weza kuleta mabadiliko yanayo hitajika. Sababu ya kutojua kinacho endelea haipo tena.
 
CCM ipi unaizungumzia wewe. Ile iliyonyakuwa chama na kutumia jina la chama hicho kwa hadaa bila shaka.
Wewe bila Samia na Genge lake huna lolote ndani ya CCM.
Kwa hiyo fanya uwe mkweli, wewe siyo shabiki wa chama cha CCM, bali ni mali ya Samia na Genge lake.
Huwezi kuwa mzalendo kwa taifa lako halafu kawa mfugo wa kundi linalonajisi taifa unalodai unalipenda..
 
Kupigwa risasi na mengineyo unayoyataja ungemuuliza kahaba wenu aliyeko mamlakani maana ndiye alikuwa namba mbili kwa jiwe...
 
No reforms no election
Ni muhimu pawe na mkakati wa kuiwasha moto upya NORNE kuelekea kwenye ufunguzi wa kampeni FEKI.
CHADEMA hawahitaji kutumia raslimali za chama kuiamsha upya kampeni hii muhimu ili iwachangamshe wananchi ambao tayari sasa wanao uelewa mzuri wa uchafu wote unaoendelea chini ya Samia Suluhu Hassan na Genge lake.

Sambamba na hili, ni wakati sasa kuelekeza mashambulizi kwa wahusika wote wa uchafuzi moja kwa moja. Kina kailima ni lazima sasa waelekezewe mashambulizi yanayowalenga wao moja kwa moja kwa uhusika wao katika kulihujumu taifa hili.
Hawa siyo wa kuwaacha waendelee kutamba kana kwamba hayawahusu wao.
Ni wakati zitafutwe njia za kuwafanya wajutie uharibifu wanao usababisha kwa ushiriki wao kwenye hujuma hizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…