Vijana Suala la AJIRA sahauni Mara Ajira mil.12,10,8,mara Mkeka unakuja ni SIASAWanasiasa wote ndani ya CCM na upinzani wamekuwa wakilitaja tatizo la ajira lakini kwa hotuba ya leo ya rais Samia, ni wazi serikali haina ufumbuzi wa tatizo hili. Kujiajili hiyo siyo mbinu ya serikali, ni jambo la mtu binafsi kuamua.
Serikali lazima itengeneze ajira. Kupunguza kodi siyo mbinu ya ajira kwa vijana. Kufuta tozo za OSHA siyo ufumbuzi. Viwanja vya michezo siyo ufumbuzi. Ni kama utatanishi tu na kutaja facts ambazo kila mtu anazijua. Vijana hawana ajira, serikali itueleze wanategenezaje ajira. Hatutakikuuza bar kama tulivyoambiwa enzi za awamu ya 4.
Lazima mazingira ya sekta binafsi yaboreshwe tuweze kupata ajira za kutoshaWanasiasa wote ndani ya CCM na upinzani wamekuwa wakilitaja tatizo la ajira lakini kwa hotuba ya leo ya rais Samia, ni wazi serikali haina ufumbuzi wa tatizo hili. Kujiajili hiyo siyo mbinu ya serikali, ni jambo la mtu binafsi kuamua.
Serikali lazima itengeneze ajira. Kupunguza kodi siyo mbinu ya ajira kwa vijana. Kufuta tozo za OSHA siyo ufumbuzi. Viwanja vya michezo siyo ufumbuzi. Ni kama utatanishi tu na kutaja facts ambazo kila mtu anazijua. Vijana hawana ajira, serikali itueleze wanategenezaje ajira. Hatutakikuuza bar kama tulivyoambiwa enzi za awamu ya 4.
Nionavyo, tatizo la sekta binafsi pia ni gumu kiasi. Niliwaona wakizungumza na JPM ikulu kipindi kile. Badala ya kueleza changamoto za biashara zao, mtu anaomba rais amsaidie kupata shamba analohitaji wilayani Magu, akifahamu ni shamba la wananchi ambao atawaondoa kwenye ajira yao! Mtu anakwenda na matatizo binafsi kabisa!Lazima mazingira ya sekta binafsi yaboreshwe tuweze kupata ajira za kutosha
Ndiyo hii mifumo ya kipumbafu imetufikisha hapa mahali tulipo, tuibadiliNionavyo, tatizo la sekta binafsi pia ni gumu kiasi. Niliwaona wakizungumza na JPM ikulu kipindi kile. Badala ya kueleza changamoto za biashara zao, mtu anaomba rais amsaidie kupata shamba analohitaji wilayani Magu, akifahamu ni shamba la wananchi ambao atawaondoa kwenye ajira yao! Mtu anakwenda na matatizo binafsi kabisa!
Serikali nayo ikizunguimza nao inawapa maneno ya kufurahisha tu! Sioni mikakati yao ya kwenda kwenye teknolojia, tuwe na uzalishaji ndani na kuuza nje. Ni watu wa kununua na kuuza ndo maana kila siku ni TRA, TRA, TRA!
Kitendo cha serikali ya CCM kuruhusu machinga kumiliki barabara na maeneo ya wazi ili wapate kura zao hakiwezi kufutwa kwa propaganda.Wanasiasa wote ndani ya CCM na upinzani wamekuwa wakilitaja tatizo la ajira lakini kwa hotuba ya leo ya rais Samia, ni wazi serikali haina ufumbuzi wa tatizo hili. Kujiajili hiyo siyo mbinu ya serikali, ni jambo la mtu binafsi kuamua.
Serikali lazima itengeneze ajira. Kupunguza kodi siyo mbinu ya ajira kwa vijana. Kufuta tozo za OSHA siyo ufumbuzi. Viwanja vya michezo siyo ufumbuzi. Ni kama utatanishi tu na kutaja facts ambazo kila mtu anazijua. Vijana hawana ajira, serikali itueleze wanategenezaje ajira. Hatutaki kuuza bar kama tulivyoambiwa enzi za awamu ya 4.
Uko sahihi sana! Wanaojiita wafanyabiashara, wengi ni kuuza na kununua bidhaa tu! Unapoagiza bidhaa unakwepaje sheria za TRA?Nionavyo, tatizo la sekta binafsi pia ni gumu kiasi. Niliwaona wakizungumza na JPM ikulu kipindi kile. Badala ya kueleza changamoto za biashara zao, mtu anaomba rais amsaidie kupata shamba analohitaji wilayani Magu, akifahamu ni shamba la wananchi ambao atawaondoa kwenye ajira yao! Mtu anakwenda na matatizo binafsi kabisa!
Serikali nayo ikizunguimza nao inawapa maneno ya kufurahisha tu! Sioni mikakati yao ya kwenda kwenye teknolojia, tuwe na uzalishaji ndani na kuuza nje. Ni watu wa kununua na kuuza ndo maana kila siku ni TRA, TRA, TRA!
Bora hata kama hizo Bar kama zipo zitasaidia..., tunakoelekea Bar hazipo, vijana wakiamua kulima masoko ya kubahatisha..., yaani unataka mtu alime akishavuna aanze kuingia sokoni kutafuta madalali by the time ametapeliwa na kulipwa robo ya pesa zake msimu wa kulima umeshamuacha... (kinachobaki ni madeni na stress)Vijana hawana ajira, serikali itueleze wanategenezaje ajira. Hatutaki kuuza Bar kama tulivyoambiwa enzi za awamu ya 4.
Mtoa mada elewa sio wajibu wa serikali kutoa ajira ,wajibu wake ni kutengeneza mazingira ya watu kujiajili au private sector's kurahisishiwa mazingira ya kuendesha shughuli zao na hii inaleta ajira,na elewa PresidentSamia ametoa ombi kuwa laumu na pia toa mawazo ya to remedy the situations sasa wewe unafanya kinyume,lawama lawama tu bila ya kushauri the better way forward,amka wewe middle class wa kitanzania acha kuwa kama mtoto anayehitaji kulishwa.Wanasiasa wote ndani ya CCM na upinzani wamekuwa wakilitaja tatizo la ajira lakini kwa hotuba ya leo ya Rais Samia, ni wazi serikali haina ufumbuzi wa tatizo hili. Kujiajili hiyo siyo mbinu ya serikali, ni jambo la mtu binafsi kuamua.
Serikali lazima itengeneze ajira. Kupunguza kodi siyo mbinu ya ajira kwa vijana. Kufuta tozo za OSHA siyo ufumbuzi. Viwanja vya michezo siyo ufumbuzi. Ni kama utatanishi tu na kutaja facts ambazo kila mtu anazijua.
Vijana hawana ajira, serikali itueleze wanategenezaje ajira. Hatutaki kuuza Bar kama tulivyoambiwa enzi za awamu ya 4.
Nchi Taifa inabidi kutengeneza Sera za Majority na sio Individuals..., wangapi wanajitambua (hata kama ni wengi) wangapi wana discipline ?Kijana makini na anaye jitambua hawezi sikiliza maneno ya Wanasiasa katika kuamua hatima ya maisha yake
Kila Serikali inaendeshwa tofauti na Capitalists Government ndio sio wajibu wao kutoa Ajira (na kama ndivyo..., hizo Government basi ziwe slim na ziendeshwe kwa tija na pesa ndogo) Je are we really a Capitalistic Free Market Country (au bado tunapangiana bei na kuruhusiwa kama tuuze Mazao yetu nje au tusiuze, au bei tukiuza tofauti tunaitwa walanguzi)Mtoa mada elewa sio wajibu wa serikali kutoa ajira ,wajibu wake ni kutengeneza mazingira ya watu kujiajili au private sector's kurahisishiwa mazingira ya kuendesha shughuli zao na hii inaleta ajira,na elewa PresidentSamia ametoa ombi kuwa laumu na pia toa mawazo ya to remedy the situations sasa wewe unafanya kinyume,lawama lawama tu bila ya kushauri the better way forward,amka wewe middle class wa kitanzania acha kuwa kama mtoto anayehitaji kulishwa.
Nonsense! Ulipata lolote toka hotuba ya rais? Mwenye mada kalianzisha. soma michango ya watu ndo uelewe umuhimu wa uzi huu.Mtoa mada elewa sio wajibu wa serikali kutoa ajira ,wajibu wake ni kutengeneza mazingira ya watu kujiajili au private sector's kurahisishiwa mazingira ya kuendesha shughuli zao na hii inaleta ajira,na elewa PresidentSamia ametoa ombi kuwa laumu na pia toa mawazo ya to remedy the situations sasa wewe unafanya kinyume,lawama lawama tu bila ya kushauri the better way forward,amka wewe middle class wa kitanzania acha kuwa kama mtoto anayehitaji kulishwa.
Kwa akili yako unaona kazi ya rais ni kutoa ombi? UNazungumzia kurahisisha mazingira, kwa vipi au nayo ni theory mpya. Biashara ni kulipa kodi, FINITO! Hawa wanachukuwa Forex wanapeka China kununua plastiki na nguo. Wanauza kwa shilingi na kununua tena forex kupeleka china. Wasipotozwa kodi hizo forex wanazo export zitatoka wapi?Mtoa mada elewa sio wajibu wa serikali kutoa ajira ,wajibu wake ni kutengeneza mazingira ya watu kujiajili au private sector's kurahisishiwa mazingira ya kuendesha shughuli zao na hii inaleta ajira,na elewa PresidentSamia ametoa ombi kuwa laumu na pia toa mawazo ya to remedy the situations sasa wewe unafanya kinyume,lawama lawama tu bila ya kushauri the better way forward,amka wewe middle class wa kitanzania acha kuwa kama mtoto anayehitaji kulishwa.
No need kupishana kwa lugha isiyo staa,jibu hoja na its our right kutofautiana sio kutumia lugha za matusi,kuniita mimi au mchango wangu nonsense ni kuonyesha wewe ni mtu wa namna gani,wewe engage mimi kihoja sio matusi,na wewe sio spokesperson wa serikali za dunia,sio wajibu wa serikali kutoa ajira but ni wajibu wao kuandaa mazingira ya kuzalisha ajira nyingi.Nonsense! Ulipata lolote toka hotuba ya rais? Mwenye mada kalianzisha. soma michango ya watu ndo uelewe umuhimu wa uzi huu.
Ajira huwa ni ajenda muhimu kwa kila taifa. Serikali inatakiwa kubuni mipango ya kuongeza ajira. Siyo kutueleza vijana mujiajiri, wajiajiri wapi?
Hili ninaafikiana nalo ,na sijalipinga kabisa kodi ndio msingi na wajibu wetuKwa akili yako unaona kazi ya rais ni kutoa ombi? UNazungumzia kurahisisha mazingira, kwa vipi au nayo ni theory mpya. Biashara ni kulipa kodi, FINITO! Hawa wanachukuwa Forex wanapeka China kununua plastiki na nguo. Wanauza kwa shilingi na kununua tena forex kupeleka china. Wasipotozwa kodi hizo forex wanazo export zitatoka wapi?
Serikali itoe mikakati ya kusupport manufacturing industries siyo wafanyabiashara wa kununua kuuza nao wadai huruma ya tax!