Ni wazi Serikali haina mikakati ya tatizo la Ajira kwa vijana

Ni wazi Serikali haina mikakati ya tatizo la Ajira kwa vijana

Kwa mfano, US walitoa incentive kwa makampuni binafsi ili yasife wakati huu wa corona. Yakifa au kufilisika, yanapoteza ajira na kodi nyingi za kuendesha serikali. Private sector inayokua, itaongeza ajira. Serikali inatakiwa kuweka sera na mazingira rafiki kwa private sector ili azma ya kuongeza ajira ifanikiwe. Serikali isijiingize kufanya biashara ambazo hawana hata weledi nazo. Na serikali haiwezi kutuajiri sisi sote. Serikali ithamini na kuikuza private secor kama njia mbadala ya kuongeza ajira.
Eneo jingine ni kuhakikisha inawekeza kwa nguvu kubwa kwenye kilimo. Kutoa wataalamu na kuhakikisha wakulima wanapata mbegu bora na vitendea kazi endelevu. Kilimo sasa kiwe mechanized. Kufuga sasa kuwe kwa small scale and zero grazing. Tanzania tunaweza kutengeneza ajira kwa kila mtu kama kimkakati, maeneo fulani yakapewa kipaumbele
Wakati wa Kikwete, kulikuwa na mdororo wa kiuchumi Duniani. Kule bungeni wakatoa pesa kwa kilichoitwa kunusuru makampuni ya watu binafsi. Walichokifanya waligawana wanasiasa kupitia kwa ndugu zao kama walivyofanya pesa za escrow. Leo hii tumemsahau na anaonekana kuwa mzee wa busara hadi kusikilizwa na wasomi wa chuo kikuu. Anaitwa Chancellor! Rubbish!
 
Wakati wa Kikwete, kulikuwa na mdororo wa kiuchumi Duniani. Kule bungeni wakatoa pesa kwa kilichoitwa kunusuru makampuni ya watu binafsi. Walichokifanya waligawana wanasiasa kupitia kwa ndugu zao kama walivyofanya pesa za escrow. Leo hii tumemsahau na anaonekana kuwa mzee wa busara hadi kusikilizwa na wasomi wa chuoa kikuu. Anaitwa Chancellor! Rubbish!

Haaaahaaaa....they think we are all fools. Imetosha sasa kuiba mali za umma. Watubu na kuacha dhambi hizo. Tujenge nchi yetu. Naona sasa wanajipanga kwenda kula mil 600 kwa kila jimbo.
Hela za kuziogopa sana zile maana kuna watu wataitwa hata wahamiaji haramu
 
Wanasiasa wote ndani ya CCM na upinzani wamekuwa wakilitaja tatizo la ajira lakini kwa hotuba ya leo ya Rais Samia, ni wazi serikali haina ufumbuzi wa tatizo hili. Kujiajili hiyo siyo mbinu ya serikali, ni jambo la mtu binafsi kuamua.

Serikali lazima itengeneze ajira. Kupunguza kodi siyo mbinu ya ajira kwa vijana. Kufuta tozo za OSHA siyo ufumbuzi. Viwanja vya michezo siyo ufumbuzi. Ni kama utatanishi tu na kutaja facts ambazo kila mtu anazijua.

Vijana hawana ajira, serikali itueleze wanategenezaje ajira. Hatutaki kuuza Bar kama tulivyoambiwa enzi za awamu ya 4.
 
Kama Mzazi wako hakupambana kukutengenezea maisha kuisubiri serikali ifanye hivyo ni kama kusuburia meli kituo Cha basi.
 
Back
Top Bottom