Wanasiasa wote ndani ya CCM na upinzani wamekuwa wakilitaja tatizo la ajira lakini kwa hotuba ya leo ya Rais Samia, ni wazi serikali haina ufumbuzi wa tatizo hili. Kujiajili hiyo siyo mbinu ya serikali, ni jambo la mtu binafsi kuamua.
Serikali lazima itengeneze ajira. Kupunguza kodi siyo mbinu ya ajira kwa vijana. Kufuta tozo za OSHA siyo ufumbuzi. Viwanja vya michezo siyo ufumbuzi. Ni kama utatanishi tu na kutaja facts ambazo kila mtu anazijua.
Vijana hawana ajira, serikali itueleze wanategenezaje ajira. Hatutaki kuuza Bar kama tulivyoambiwa enzi za awamu ya 4.
umeandika point sana kujiajiri ni suala la mtu binafsi,vijana wengi wanaamini ukimaliza shule ukapata cheti ni lazima uajiriwe.Wanasiasa wote ndani ya CCM na upinzani wamekuwa wakilitaja tatizo la ajira lakini kwa hotuba ya leo ya Rais Samia, ni wazi serikali haina ufumbuzi wa tatizo hili. Kujiajili hiyo siyo mbinu ya serikali, ni jambo la mtu binafsi kuamua.
Serikali lazima itengeneze ajira. Kupunguza kodi siyo mbinu ya ajira kwa vijana. Kufuta tozo za OSHA siyo ufumbuzi. Viwanja vya michezo siyo ufumbuzi. Ni kama utatanishi tu na kutaja facts ambazo kila mtu anazijua.
Vijana hawana ajira, serikali itueleze wanategenezaje ajira. Hatutaki kuuza Bar kama tulivyoambiwa enzi za awamu ya 4.
Mbona hukusema haya enzi za Mzee wako?Wanasiasa wote ndani ya CCM na upinzani wamekuwa wakilitaja tatizo la ajira lakini kwa hotuba ya leo ya Rais Samia, ni wazi serikali haina ufumbuzi wa tatizo hili. Kujiajili hiyo siyo mbinu ya serikali, ni jambo la mtu binafsi kuamua.
Serikali lazima itengeneze ajira. Kupunguza kodi siyo mbinu ya ajira kwa vijana. Kufuta tozo za OSHA siyo ufumbuzi. Viwanja vya michezo siyo ufumbuzi. Ni kama utatanishi tu na kutaja facts ambazo kila mtu anazijua.
Vijana hawana ajira, serikali itueleze wanategenezaje ajira. Hatutaki kuuza Bar kama tulivyoambiwa enzi za awamu ya 4.
Hapa kuna wafanyabiara wenye pesa ila inawezekana wanaogopa ubabe wa serikali. Sio kwamba hatuna watu wa kuweza kununua mashine za kuzalisha matirio Kama wanayokwenda kununua huko China. Tunao ila ule uhuru hawana. Wengi wanakumbana na misukosuko kwa ajili ya watu wajanjawajanja na kutumia vyeo walivyonavyo.Kwa akili yako unaona kazi ya rais ni kutoa ombi? UNazungumzia kurahisisha mazingira, kwa vipi au nayo ni theory mpya. Biashara ni kulipa kodi, FINITO! Hawa wanachukuwa Forex wanapeka China kununua plastiki na nguo. Wanauza kwa shilingi na kununua tena forex kupeleka china. Wasipotozwa kodi hizo forex wanazo export zitatoka wapi?
Serikali itoe mikakati ya kusupport manufacturing industries siyo wafanyabiashara wa kununua kuuza nao wadai huruma ya tax!
Ni vizuri kutoa mifano hai. Mzee Mengi (RIP) aliweza kuwekeza kwenye uzalishaji na sikuwahi sikia akilalamikia pesa yake kuchukuliwa kwa nguvu. Hawa wanaoishitaki TRA kila siku tatizo lao ni kukwepa kodi, ndipo walafi wa TRA wanapoona mwanya wa kuwakaanga.Hapa kuna wafanyabiara wenye pesa ila inawezekana wanaogopa ubabe wa serikali. Sio kwamba hatuna watu wa kuweza kununua mashine za kuzalisha matirio Kama wanayokwenda kununua huko China. Tunao ila ule uhuru hawana. Wengi wanakumbana na misukosuko kwa ajili ya watu wajanjawajanja na kutumia vyeo walivyonavyo.
Kiundwe kitengo Cha kusimamia Hawa watu na jicho liwe moja kwa moja kwa Raisi Kama hawatajitokeza. Wanaweza kujiunga hata wawili na kiwanda kikaja.
Tatizo lipo kwenye mfumo mbovu wa kunyanganyana ulichonacho. Unaweza ukawa na hela yako lakini utashambuliwa na watu Kama nyuki kwa vitisho.
Chakuangali ni sheria zilizowekwa zinamsaidia je mwekezaji ili aweze kuajiri vijana na serikalini ipate Kodi hata kidogo kidogo na mtaji uendelee.
Mfano kuna vikudi wanataka hela, Kata wanataka gawio, Halmashauri gawio, TRA Kodi na sio moja, sijui changia CCM kuna kikundi Cha ngoma n.k. Bado makomandoo wa vitisho wanaotumia vyeo vyao na wanaotumwa na wezi humohumo. Hapo hujui Kama huyu mtu anauza au la au mitambo inaendeshwa je.
Ushauri wangu wawekezaji jicho lao libaki ofisi ya Rais. Asitokee mtu pembeni kuwasumbua. Lengo ni ajira na Kodi ya serikalini. Hapo kuna Kodi ya wafanyakazi na Kodi ya kiwanda na manufacturer.
Serikali ikubali katiba mpya ambayo kila mtu ataielewa sio hiyo ya viraka. Hi ya viraka itupwe kabisa tuwe na katiba inayoendana na hali watanzania wanaishi kwa leo na kesho sio ya mababu zetu. Maisha bwaliyoishi mababu zetu ni tofauti na ulimwengu wa leo. Tunatakiwa tuwe na katiba inayoeleweka. Na hii itatupa ushindani wa kweli kusimamia rasilimali watu na afya ya taifa bila kubaguana.
Hatujui katiba kwa sababu haikusisitiziwa mashuleni. Hi katiba mpya vijana wetu wasisitiziwe hata Kama sio chaguo lake.
Kwa hiyo wakilalamika ni hadi usikie ndo uamini? Umewahi kukutana na TRA wakiwa kwenye anga zao??Ni vizuri kutoa mifano hai. Mzee Mengi (RIP) aliweza kuwekeza kwenye uzalishaji na sikuwahi sikia akilalamikia pesa yake kuchukuliwa kwa nguvu. Hawa wanaoishitaki TRA kila siku tatizo lao ni kukwepa kodi, ndipo walafi wa TRA wanapoona mwanya wa kuwakaanga.
Biashara ni kutimiza wajibu, basi!
Umewahi kutana na Internal Revenue Service ya US? Bora ukutane na Pentagon officer. Tusitake kudeka.Kwa hiyo wakilalamika ni hadi usikie ndo uamini? Umewahi kukutana na TRA wakiwa kwenye anga zao??
Ila Hawa hata ukiwapa soda hawanywi. Na kule US wananchi hawakubali mpaka Hawa watu wawafuate. Wale wanasikilizwa na wanadhamini utu. Wale wanaelimu ya kutosha kulipa Kodi. Hata Kama ni kulipia kitambulisho wanakuwa making na hiyo tarehe na siku.Umewahi kutana na Internal Revenue Service ya US? Bora ukutane na Pentagon officer. Tusitake kudeka.
Ungesoma kitabu chake wala usingeandika hyaNi vizuri kutoa mifano hai. Mzee Mengi (RIP) aliweza kuwekeza kwenye uzalishaji na sikuwahi sikia akilalamikia pesa yake kuchukuliwa kwa nguvu. Hawa wanaoishitaki TRA kila siku tatizo lao ni kukwepa kodi, ndipo walafi wa TRA wanapoona mwanya wa kuwakaanga.
Biashara ni kutimiza wajibu, basi!
Very good analysismnhhhh mnapoteza muda wenu..suala la ajira na elimu ni vitu vinakuwa ignored na mawaziri husikA, otherwise hapa JF ushauri mwingi tu ushatolewa....
1. Mama tenga fungu/pesa/mfuko special ku deal na tatizo la ajira.
2.Kuwe na incentive paid to employers who employ graduates who have been out of employment for the past five years.
3.Kuwe na system ya kuwa engage wananchi watoe solutions za matatizo yanayowakabili...wasisubiri JamiiForums peke yake...government proccess should'nt be top-down proccesses bali bottom-up processes. Yusuph Makamba alishawahi kuja na number ya simu kwa wananchi wake wa Bumbuli wapige wakiwa na kero. Ni utaratibu mzuri. Kila sehemu ya nchi ki serikali wawe na utaratibu huu,sio kusikiliza matatizo tu bali na solutions kutoka kwa wananchi mojawapo ikiwa ni unemployment.
4.Elimu yetu iwe specific na mazingira yetu, tunasoma vitu vingi sana irrelevant ..ukisoma vitu katika mazingira yako unakua na knowledge zaidi ya ku explore opportunuties that are available within your reach hivyo kujiajiri.
5. Mmekazania vijana wamalizapo shule wajiajiri,kwa nini sasa walienda shule si wangeweza kujiajiri mapema tuu kuliko kupoteza muda wao shuleni?? msitoe lawama kwa serikali,kwa kweli serikali iko responsible. Kuliko kupoteza time and resources ni bora vijana wamalizapo form six wapewe Elimu na mitaji wajiajiri. Hio hela utakayomsomesha miaka mitatu and then akae bench/not productive ungempa mtaji na elimu ya entreprenuarship pindi anapomaliza six i'm sure baada ya miaka mitatu atakuwa mbali yeye binafsi pamoja na kutokua mzigo kwa jamii inayomzunguka.
How old are you?Mbona hukusema haya enzi za Mzee wako?
Eti wanasiasa wetu hawa, mkakati wao ni kuwaambia vijana wajiajili! Ni upuuzi kabisa. Serikali lazima itengeze ajira siyo hotuba za kusema mujiajili. Hilo haliwahusu kabisaaa!umeandika point sana kujiajiri ni suala la mtu binafsi,vijana wengi wanaamini ukimaliza shule ukapata cheti ni lazima uajiriwe.
serikali iweke mikakati dhabiti kuhakikisha ajira ziko za kumwaga na sio kulazimisha kijana ajiajiri wakati hata mtaji hana.
Sisomi vitabu vya kinafiki mimi. Mi nafanya assessment yangu. Umesoma kitabu cha Mwinyi? Uzembe wa kiuongozi alioufanya mbona kauruka? Aligawa maeneo ya wazi, akikwenda kucheza kanda Bongo man wagonjwa wakifa kwa kukosa tiba Muhimbili. Mengi hakusema alivyoiibia serikali. Mkapa naye alisema alivyojimegea viwanda?
Kwa mfano, US walitoa incentive kwa makampuni binafsi ili yasife wakati huu wa corona. Yakifa au kufilisika, yanapoteza ajira na kodi nyingi za kuendesha serikali. Private sector inayokua, itaongeza ajira. Serikali inatakiwa kuweka sera na mazingira rafiki kwa private sector ili azma ya kuongeza ajira ifanikiwe. Serikali isijiingize kufanya biashara ambazo hawana hata weledi nazo. Na serikali haiwezi kutuajiri sisi sote. Serikali ithamini na kuikuza private secor kama njia mbadala ya kuongeza ajira.Wanasiasa wote ndani ya CCM na upinzani wamekuwa wakilitaja tatizo la ajira lakini kwa hotuba ya leo ya Rais Samia, ni wazi serikali haina ufumbuzi wa tatizo hili. Kujiajili hiyo siyo mbinu ya serikali, ni jambo la mtu binafsi kuamua.
Serikali lazima itengeneze ajira. Kupunguza kodi siyo mbinu ya ajira kwa vijana. Kufuta tozo za OSHA siyo ufumbuzi. Viwanja vya michezo siyo ufumbuzi. Ni kama utatanishi tu na kutaja facts ambazo kila mtu anazijua.
Vijana hawana ajira, serikali itueleze wanategenezaje ajira. Hatutaki kuuza Bar kama tulivyoambiwa enzi za awamu ya 4.