Ni wazi Serikali haina mikakati ya tatizo la Ajira kwa vijana

Wakati wa Kikwete, kulikuwa na mdororo wa kiuchumi Duniani. Kule bungeni wakatoa pesa kwa kilichoitwa kunusuru makampuni ya watu binafsi. Walichokifanya waligawana wanasiasa kupitia kwa ndugu zao kama walivyofanya pesa za escrow. Leo hii tumemsahau na anaonekana kuwa mzee wa busara hadi kusikilizwa na wasomi wa chuo kikuu. Anaitwa Chancellor! Rubbish!
 

Haaaahaaaa....they think we are all fools. Imetosha sasa kuiba mali za umma. Watubu na kuacha dhambi hizo. Tujenge nchi yetu. Naona sasa wanajipanga kwenda kula mil 600 kwa kila jimbo.
Hela za kuziogopa sana zile maana kuna watu wataitwa hata wahamiaji haramu
 
 
Kama Mzazi wako hakupambana kukutengenezea maisha kuisubiri serikali ifanye hivyo ni kama kusuburia meli kituo Cha basi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…