Mwenyekiti wenu ndiye aliye lifikisha hili tatizo hapa tulipo.Mkuu wa mkoa fukuza watendaji kata wote ambapo Machinga wamerudi. Ni uzembe wa kijinga Sana
Hakuna mtu wa kuwahamisha machinga mjini na huyo bado hajazaliwa.Wamachinga wameanza kurudi maeneo mengi baada ya kuona waliobaki hawajachukuliwa hatua yeyote....kariakoo zile meza akizosema makala mwenyewe hazijaondolewa ... naona Kuna shida mahali..Ni suala la muda tu machinga wengi watarudi
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kila mtu anahitaji kuishi kwa jasho lake sasa iweje Makalla anayelipwa mamilioni kwa mwezi asimamishe chanzo cha kipato cha machinga ambaye hiyo ndio ajira yake?Zoezi lilipoanza walikwenda ofisi ya serikali za mitaa wakafanya vurugu ya kupiga mawe tangu hapo naona sasa wanaheshiana.
Wakijidanganya kutumia nguvu ndiyo kabisa watakuwa wameharibuHa ha ha kuwatoa kwa nguvu hao hawatoki kabsa
Hiyo inaitwa toa niweke tuManzese kama kawaida kazi zinaendelea.
RRC ## RC[emoji2][emoji2]Tangu uanze kampeni ya kuwaondoa wamachinga mitaani inaonekana wamachinga wa Mbagala Rangitatu wamekushinda, bado wapo mbele ya maduka, juu ya barabara inayojengwa na juu ya mitaro ya maji ya mvua.
pungu huyo nang'oloMwenye matatizo ya akili utamjua tu
Ha ha eti nang'olo ...chimakonde Cha ukayapungu huyo nang'olo
wewe ndo mjinga na wasukuma wenzako.Asubiri kufukuzwa kibarua kama alivyo fukuzwa kutoka Mbeya.
Anaingia dsm kwa mbwembwe bila kutumia akili na busara kwa kutafuta kiki za hovyo.
Naona umelivamia jukwaa,pole sana .wewe ndo mjinga na wasukuma wenzako.
watu wastaarabu wasioishi kwenye mazizi ya Ng''ombe wako mjini wanajua wanachofanya
Upo sahihi ndiyo maana mpaka sasa vijana wapo wanapiga mzigo bila shaka na pembeni wamejaza rundo la vitofa.Mbagala na Tandika ni kwa TMK-Wanaume polisi na Makala wakienda kule wave pampas na helmet kabisa..
Na kaa ukijua hapa Dar kuna Wanaume wa Dar halafu kuna Machinga, Machinga hawausiani kabisa na wanaume wa Dar ndo mana hata Makala anajiuliza ni vp aingine... hii vita kushinda ni ngumu sanaaa ma RC wengi wamechemsha
Hapa point ni kushindwa kwa Makalla na mbwembwe zake za kulisafisha jiji.Mbagala haina watu wengi kama ambavyo wengi wanavyodhani, wanaoonekana ni watu toka pwani kama wilaya ya Mkuranga ambao kwao Mbagala ndiyo mjini.
njaambaya wadau sikieni tu njaa ishu nyingne unadhn hawapendi njaa ndio tatizoHalafu ile mwanzoni walikuwa wameonekana kutii agizo kabisa, lakini baada ya lile vurugu la siku ile, wamerudi tena kama kawaida, hata tandika bado wapo kama kawaida tu!!!
vyote kwa pamoja nadhaniHapa point ni kushindwa kwa Makalla na mbwembwe zake za kulisafisha jiji.
vitofa kwa ajili ya kuua mtu au unamaana gani mdau wa jamviUpo sahihi ndiyo maana mpaka sasa vijana wapo wanapiga mzigo bila shaka na pembeni wamejaza rundo la vitofa.
Vitofa ni silaha kwa ajili ya kujilindavitofa kwa ajili ya kuua mtu au unamaana gani mdau wa jamvi
Kariako iko vile vile kama mwanzoTangu uanze kampeni ya kuwaondoa wamachinga mitaani inaonekana wamachinga wa Mbagala Rangitatu wamekushinda, bado wapo mbele ya maduka, juu ya barabara inayojengwa na juu ya mitaro ya maji ya mvua.
Ina maana wale Suma JKT kama wanaolala kwenye defender pale mtaa wa Congo mbagala imeshindikana kuwapeleka ama?Ukweli ni kuwa Mbagala rangi tatu kazi inaendelea tena bila uoga kabisa.
Makalla kashindwa mapema sana hili.