Ni Waziri gani alikwenda gerezani kumshawishi Freeman Mbowe?

Mfungwa ni Sabaya, Mbowe ni mahabusu….. nahisi nawe umechanganya kama sio kuchanganyikiwa.
Unafikiri kibongobongo mahabusu anaweza kupewa uhuru wa kuongea na simu tena na mtu aliyekuwa nje ya nchi?
 
Reactions: Tui
Lemaa naye, hivi hata kama ni kweli ndivyo ethics zilivyo hivyo? Confidentiality maana yake ni nini? Je bedroom matters nazo anasema hivi hivi? Bora Mwijaaku kuliko huyu jamaa.

Mwijaku amekuhifadhia siri za faragha bibie?
 
Hebu pelekeni huko umbea wenu
 
Reactions: Tui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…