Ni Waziri gani alikwenda gerezani kumshawishi Freeman Mbowe?

Ni Waziri gani alikwenda gerezani kumshawishi Freeman Mbowe?

Lemaa naye, hivi hata kama ni kweli ndivyo ethics zilivyo hivyo? Confidentiality maana yake ni nini? Je bedroom matters nazo anasema hivi hivi? Bora Mwijaaku kuliko huyu jamaa.
 
Lakini magaidi wa nchi za wengine, huwezi ona Diplomats wanaenda kwenye kesi zao[emoji1]

UTAFANYAJE UGAIDI BILA MILIPUKO? HAKUNA HATA GRENADE MOJA LA USHAHIDI LILILOONESHA MAHAKAMANI ! SASA HIVYO VITUO VITALIPULIWA NA NINI? HAKUNA HATA SHOKA WALA CHAIN SAW ZILIZOLETWA KAMA USHAHIDI WA KUKATIA HIYO MITI YA KUTANDAZA BARABARANI, SASA HAYO MAGOGO YANGEKATWA NA NINI?
 
Yaani chadema yenye Mbunge 1 wa kuchaguliwa wanegotiate power na CCM??

Bilicanas itarudi vipi wakati pale kuna Rita tower??
 
Jitahidi kuwa mwanaume mtu mwenye msimamo.
Unaweza ukanya kwenye meza na ukasema ni choo kwa kuwa tu una msimamo.

Tulimpinga Dikteta Magufuli kwa kwa kuwa alikuwa anaipeleka Nchi pabaya. Amekuja Samia anafanya vizuri, unataka niendelee kupinga Serikali tu.

Nyie mlipaswa kumshauri Mbowe atulie kwanza aangalie staili ya Samia ndipo aanze mikakati ya kujenga chama chake. Hatuwezi kuunga mkono UJINGA wa Mbowe wa kujifanya anaitaka Katiba Mpya kuliko watanzania wengine wakati yeye mwenyewe ndiye alikuwa mmoja wa waliovuruga upatikanaji wa Katiba mwaka 2014 wakati wa Bunge la Samuel Sitta
 
Halafu huko jela au mahabusu kuna access ya space usiku wa manane.Hivi kwenye kichwa chako kuna makamasi au ubongo.
Yaani Mbowe anaamka usiku wa manane kushiriki kwenye space tena akiwa mahabusu.Huku Mbowe akilalamika kwamba wakitoka kwenye kesi wanakuta wenzao wamelala?Unaishi kwenye sayari gani wewe kiazi?
Bata mzinga nimeaanisha Lema mbona anaudhuria space
 
Bata mzinga nimeaanisha Lema mbona anaudhuria space
Huo ujinga utauacha lini?Aliongeana na Mbowe kwenye nini?Na saa ngapi?
Unafikiri habari za mbege ukileta hapa watu hawataacha kujiuliza?
 
naona utoto unaendelea..

Lema sidhani kama yuko sawa kichwani..
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Mazuri yote anayofanya Samia, ni sawa na jambazi akakirimia biriani. Ule, lakini haibadilishi chochote kuwa huyo aliyekupa ni jambazi.

Hakuna mtu mwema, mkweli na mwaminifu wa nafsi, anaweza kutumia madaraka yake kuwatesa watu wengine. Hila na uovu wa Samia dhidi ya Mbowe ni uthibitisho usio na shaka kwamba Samia ana Roho ya shetani. Mema anayoyafanya ni hila tu za kuwadanganya wasio na upeo.
Kumbe?
 
Hope mko poa wakuu, hii habari sio maneno yangu, ni siri iliyotobolewa na mjumbe wa kamati kuu ya Chadema, Godbless Lema.

Lema amesema kuna waziri ndani ya serikali ya SSH, alienda gerezani kumtembelea Mbowe, waziri huyo alifanya kikao na Mbowe gerezani, na alimshawishi vitu vifuatavyo.

Mama hana shida na Mbowe, na yuko tayari kumrudishia vitu vyake vyote alivyonyanganywa kama Billicanas, pesa zake alizonyanganywa na mali zote.

Lema ameongeza kuwa SSH, hataki stress so Mbowe aachane kabisa na wabunge wa Covid-19, hasiwaongelee kabisa.

Mwisho achane kabisa na katiba mpya, yaani hasilizungumzie ilo la Katiba Mpya, na mbeleni wangeweza kukaa mezani na kutengeneza katiba ya kufanya kazi kwa pamoja (hapa walitaka wa negotiate Power).

Lema ameongeza kuwa Mbowe alimpigia simu akiwa na hasira sana, na alikataa mapendekezo yote yaliyoletwa na huyo waziri, alimjibu waziri huyo kuwa yuko tayari kufia magereza lakini hawezi negotiate masuala ya haki.

Nimeshtuka sana kusikia maneno ya Lema, yaani sisi tunaumia na Mbowe kuwa gerezani, lakini Mbowe hata haogopi kitu, na ni wazi serikali wanachanganyikiwa huyu mtu huu msimamo mkali anautoa wapi.

Finally ni waziri gani huyo aliyeenda kumrubuni Mbowe anegotiate na watawala.

Source: Godbless Lema jana
Hizi rushwa hizi! Naona mwami ameishanasa
 
Samia ni shetani lucifer kwa dhambi anayofanya ya kumtesa mbowe na walinzi atakufa tu maana kisasi cha Mungu hakina kipimo aendelee tu
 
Back
Top Bottom