Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UnatesekaSitaki kabisa mimi kusikia upumbavu huu wa Lema na Mbowe.Kubuni habari ili ionekane serikali inashulishwa na swala la Mbowe ni upuuzi.Yeye a,subiri haki itatendeka tu,yeye siyo gaidi wala muhujumu uchumi
.
Hujiasikia space, tuliaMtoa mada hacha kumchongea Lema yeye alisema yakuwa kabla Mbowe hajakamatwa alitafutwa na Waziri ambae ni yule chakunbimbi
Lema siyo wa kumwamini sana!
Zitto Kabwe siyo Waziri ni KC.
Halafu huko jela au mahabusu kuna access ya space usiku wa manane.Hivi kwenye kichwa chako kuna makamasi au ubongo.Tikiti maji kabisa Kama Lema space za saa Mbili anachangia vizuri, anashindwa kupanga muda ata Kama Ni usiku wa manane kuwasiliana na Mbowe
Sabaya alionywa na lema na akaambiwa atafungwa leo yupo wapi?Lema siyo wa kumwamini sana!
Zitto Kabwe siyo Waziri ni KC.
Havimuathiri wakati juzi mmeenda kutembeza bakuli na kupata 500£ kwa kusema mna demokrasia,,,na viuno mkakata airport kumpokea SSH
Kwa hiyo Lema,ndio chawa wa Mbowe hadi ayajue yeye hayo kabla ya Katibu wa Chama?
Na hiviiii wafungwa wanaruhusiwa kupiga simu tena kuongea na walio nje ya nchi?
Hope mko poa wakuu, hii habari sio maneno yangu, ni siri iliyotobolewa na mjumbe wa kamati kuu ya Chadema, Godbless Lema.
Lema amesema kuna waziri ndani ya serikali ya SSH, alienda gerezani kumtembelea Mbowe, waziri huyo alifanya kikao na Mbowe gerezani, na alimshawishi vitu vifuatavyo.
Mama hana shida na Mbowe, na yuko tayari kumrudishia vitu vyake vyote alivyonyanganywa kama Billicanas, pesa zake alizonyanganywa na mali zote.
Lema ameongeza kuwa SSH, hataki stress so Mbowe aachane kabisa na wabunge wa Covid-19, hasiwaongelee kabisa.
Mwisho achane kabisa na katiba mpya, yaani hasilizungumzie ilo la Katiba Mpya, na mbeleni wangeweza kukaa mezani na kutengeneza katiba ya kufanya kazi kwa pamoja (hapa walitaka wa negotiate Power).
Lema ameongeza kuwa Mbowe alimpigia simu akiwa na hasira sana, na alikataa mapendekezo yote yaliyoletwa na huyo waziri, alimjibu waziri huyo kuwa yuko tayari kufia magereza lakini hawezi negotiate masuala ya haki.
Nimeshtuka sana kusikia maneno ya Lema, yaani sisi tunaumia na Mbowe kuwa gerezani, lakini Mbowe hata haogopi kitu, na ni wazi serikali wanachanganyikiwa huyu mtu huu msimamo mkali anautoa wapi.
Finally ni waziri gani huyo aliyeenda kumrubuni Mbowe anegotiate na watawala.
Source: Godbless Lema jana
Mku...ika,si ndiyo hana wizara vile!Mche...rwa

🤣🤣🤣Yaani Mbowe akiwaambia wampe Billions awe kimya watampa[emoji1]
Ache uongo..Acheni upotoshaji ,nchi za wengine gaidi anafanyiwa majaribio ya silaha hatari lakini tushukuru Tanzania tunapata walau muda wa kumsikiliza