Ni Waziri gani alikwenda gerezani kumshawishi Freeman Mbowe?

Hope mko poa wakuu, hii habari sio maneno yangu, ni siri iliyotobolewa na mjumbe wa kamati kuu ya Chadema, Godbless Lema.

Lema amesema kuna waziri ndani ya serikali ya SSH, alienda gerezani kumtembelea Mbowe, waziri huyo alifanya kikao na Mbowe gerezani, na alimshawishi vitu vifuatavyo.

Mama hana shida na Mbowe, na yuko tayari kumrudishia vitu vyake vyote alivyonyanganywa kama Billicanas, pesa zake alizonyanganywa na mali zote.

Lema ameongeza kuwa SSH, hataki stress so Mbowe aachane kabisa na wabunge wa Covid-19, hasiwaongelee kabisa.

Mwisho achane kabisa na katiba mpya, yaani hasilizungumzie ilo la Katiba Mpya, na mbeleni wangeweza kukaa mezani na kutengeneza katiba ya kufanya kazi kwa pamoja (hapa walitaka wa negotiate Power).

Lema ameongeza kuwa Mbowe alimpigia simu akiwa na hasira sana, na alikataa mapendekezo yote yaliyoletwa na huyo waziri, alimjibu waziri huyo kuwa yuko tayari kufia magereza lakini hawezi negotiate masuala ya haki.

Nimeshtuka sana kusikia maneno ya Lema, yaani sisi tunaumia na Mbowe kuwa gerezani, lakini Mbowe hata haogopi kitu, na ni wazi serikali wanachanganyikiwa huyu mtu huu msimamo mkali anautoa wapi.

Finally ni waziri gani huyo aliyeenda kumrubuni Mbowe anegotiate na watawala.

Source: Godbless Lema jana
km ni waziri ni Mwingulu
 
Kwa hiyo Lema,ndio chawa wa Mbowe hadi ayajue yeye hayo kabla ya Katibu wa Chama?

Na hiviiii wafungwa wanaruhusiwa kupiga simu tena kuongea na walio nje ya nchi?
Mbowe Ni VIP, sio kapuku Kama wewe
 
Uongo tu na usanii wa lema kufikiri kwa kufanya hivyo anaongeza umashuhuri wa mbowe.
Mbowe hana lolote anapigania la maana hata kwa hao wamagharibi.
Wakati mnataka kumuonga hela akae kimya
 
'Rais Magufuli atende haki, asipotenda haki, atakufa akiwa madarakani' - Lema

'Lengai tena haki, Magufuli unayemtegemea, siyo Mungu. Kuna siku utalipia uovu unaoutenda' - Lema

'Spika Ndugai asiwasumbue, siku zake za zimeisha' - Lema.

Lazima uwe huna akili, huna kumbukumbu, kuweza kumpuuza mtu wa namna hii.
Jamaa noma
 
Na bado tunasherekea[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Na li mbowe lenu linanyea kindoo na LAZIMA lifungwe na lipate mateso ili mtesekeee ndiyo israel afanye yake na lema ni anafanya kazi za kuzibua mitaro ya choo kwa mabeberu.
 
Lema ameongeza kuwa Mbowe alimpigia simu akiwa na hasira sana, na alikataa mapendekezo yote yaliyoletwa na huyo waziri, alimjibu waziri huyo kuwa yuko tayari kufia magereza lakini hawezi negotiate masuala ya haki.
hapa katiha aya hii ndiyo utadhihirisha mwandishi hakuwa makini KUUDANGANYA UMMA WA JF
sasa mbowe anaruhusiwa kuwa na simu akiwa mahabusu?
 
Mazuri yote anayofanya Samia, ni sawa na jambazi akakirimia biriani. Ule, lakini haibadilishi chochote kuwa huyo aliyekupa ni jambazi.

Hakuna mtu mwema, mkweli na mwaminifu wa nafsi, anaweza kutumia madaraka yake kuwatesa watu wengine. Hila na uovu wa Samia dhidi ya Mbowe ni uthibitisho usio na shaka kwamba Samia ana Roho ya shetani. Mema anayoyafanya ni hila tu za kuwadanganya wasio na upeo.
Yaani mie ATA afanye Nini siwezi mpenda maisha, na sababu ni hili la Mbowe
 
Na li mbowe lenu linanyea kindoo na LAZIMA lifungwe na lipate mateso ili mtesekeee ndiyo israel afanye yake na lema ni anafanya kazi za kuzibua mitaro ya choo kwa mabeberu.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] njoo tunywe red bull
 
Hii dhambi ya kumuweka Mbowe gerezani wakati ikijulikana wazi hana hatia yoyote, itamsumbua sana Samia na utawala wake.

Hata afanye jema lipi, hili la Mbowe ni doa kubwa katika utawala wake..

Tulimsema sana JPM hapahapa JF na utawala wake usio wa haki, utawala wa mabavu wa kuteka-teka watu na kuuwa watu ovyo, na March 17 Mwaka 2021 MUNGU akajibu, tulirudi kati na kuanza upya..

Hili la Mbowe kuwekwa jela pasipo haki halitoiacha hii serikali salama..

MUNGU hadhihakiwi kwa namna yoyote ile hata mara moja..

Ee Mwenyezi MUNGU, ni wakati wa kutenda sasa.
Mungu anashughulikia mambo ya msingi ya waja wake.

Ukome kumwambia mungu upuuzi wenu. Kama ni wakati wa kutenda basi tenda na wewe.
 
Hii dhambi ya kumuweka Mbowe gerezani wakati ikijulikana wazi hana hatia yoyote, itamsumbua sana Samia na utawala wake.

Hata afanye jema lipi, hili la Mbowe ni doa kubwa katika utawala wake..

Tulimsema sana JPM hapahapa JF na utawala wake usio wa haki, utawala wa mabavu wa kuteka-teka watu na kuuwa watu ovyo, na March 17 Mwaka 2021 MUNGU akajibu, tulirudi kati na kuanza upya..

Hili la Mbowe kuwekwa jela pasipo haki halitoiacha hii serikali salama..

MUNGU hadhihakiwi kwa namna yoyote ile hata mara moja..

Ee Mwenyezi MUNGU, ni wakati wa kutenda sasa.
mungu wako nilifikiri angewatendea haki kwa kuiondoa ccm, kumbe aliondoa mtu mmoja tu huku akijua kibano kitakuwa pale pale?

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Na li mbowe lenu linanyea kindoo na LAZIMA lifungwe na lipate mateso ili mtesekeee ndiyo israel afanye yake na lema ni anafanya kazi za kuzibua mitaro ya choo kwa mabeberu.
Hi chuki uliyonayo itaja kukuua siku moja. sijui alikuingilia.....mpaka umchukie hivyo maana hizi ni siasa tu no situation is permanent.
 
Hope mko poa wakuu, hii habari sio maneno yangu, ni siri iliyotobolewa na mjumbe wa kamati kuu ya Chadema, Godbless Lema.

Lema amesema kuna waziri ndani ya serikali ya SSH, alienda gerezani kumtembelea Mbowe, waziri huyo alifanya kikao na Mbowe gerezani, na alimshawishi vitu vifuatavyo.

Mama hana shida na Mbowe, na yuko tayari kumrudishia vitu vyake vyote alivyonyanganywa kama Billicanas, pesa zake alizonyanganywa na mali zote.

Lema ameongeza kuwa SSH, hataki stress so Mbowe aachane kabisa na wabunge wa Covid-19, hasiwaongelee kabisa.

Mwisho achane kabisa na katiba mpya, yaani hasilizungumzie ilo la Katiba Mpya, na mbeleni wangeweza kukaa mezani na kutengeneza katiba ya kufanya kazi kwa pamoja (hapa walitaka wa negotiate Power).

Lema ameongeza kuwa Mbowe alimpigia simu akiwa na hasira sana, na alikataa mapendekezo yote yaliyoletwa na huyo waziri, alimjibu waziri huyo kuwa yuko tayari kufia magereza lakini hawezi negotiate masuala ya haki.

Nimeshtuka sana kusikia maneno ya Lema, yaani sisi tunaumia na Mbowe kuwa gerezani, lakini Mbowe hata haogopi kitu, na ni wazi serikali wanachanganyikiwa huyu mtu huu msimamo mkali anautoa wapi.

Finally ni waziri gani huyo aliyeenda kumrubuni Mbowe anegotiate na watawala.

Source: Godbless Lema jana
"No retreat; No surrender". Haki haiuziki bali hufiwa.
 
Lema naye ana u much know usio na tija.
 
Mazuri yote anayofanya Samia, ni sawa na jambazi akakirimia biriani. Ule, lakini haibadilishi chochote kuwa huyo aliyekupa ni jambazi.

Hakuna mtu mwema, mkweli na mwaminifu wa nafsi, anaweza kutumia madaraka yake kuwatesa watu wengine. Hila na uovu wa Samia dhidi ya Mbowe ni uthibitisho usio na shaka kwamba Samia ana Roho ya shetani. Mema anayoyafanya ni hila tu za kuwadanganya wasio na upeo.
Kadanganya dunia wapinzani hata sisimizi haiwasumbui huku Lindi aliyekuwa diwani mgombea uchaguzi na wenzake wamefungwa miaka 8 huyu Mama mnaa sana kafir
 
Cheki hii tikiti, time difference ndo inazuia watu kuwasiliana[emoji1]
Sasa ndio umedhirisha ujinga wako.Time difference inazuia kuwasiliana ukiwa gerezani .Hivi unajua tunapishana saa ngapi na Canada?
Halafu unaqoute watu jaribu kuqoute niliyoandika.
Gerezani watu hawana uhuru wa kuwasiliana kwa simu kama unavyotaka tuamini uzushi wako.
Tena international call!!
Huyo Lema nae ni mzushi tu.
 
Back
Top Bottom