Ni Waziri gani alikwenda gerezani kumshawishi Freeman Mbowe?

Hope mko poa wakuu, hii habari sio maneno yangu, ni siri iliyotobolewa na mjumbe wa kamati kuu ya Chadema, Godbless Lema.

Lema amesema kuna waziri ndani ya serikali ya SSH, alienda gerezani kumtembelea Mbowe, waziri huyo alifanya kikao na Mbowe gerezani, na alimshawishi vitu vifuatavyo.

Mama hana shida na Mbowe, na yuko tayari kumrudishia vitu vyake vyote alivyonyanganywa kama Billicanas, pesa zake alizonyanganywa na mali zote.

Lema ameongeza kuwa SSH, hataki stress so Mbowe aachane kabisa na wabunge wa Covid-19, hasiwaongelee kabisa.

Mwisho achane kabisa na katiba mpya, yaani hasilizungumzie ilo la Katiba Mpya, na mbeleni wangeweza kukaa mezani na kutengeneza katiba ya kufanya kazi kwa pamoja (hapa walitaka wa negotiate Power).

Lema ameongeza kuwa Mbowe alimpigia simu akiwa na hasira sana, na alikataa mapendekezo yote yaliyoletwa na huyo waziri, alimjibu waziri huyo kuwa yuko tayari kufia magereza lakini hawezi negotiate masuala ya haki.

Nimeshtuka sana kusikia maneno ya Lema, yaani sisi tunaumia na Mbowe kuwa gerezani, lakini Mbowe hata haogopi kitu, na ni wazi serikali wanachanganyikiwa huyu mtu huu msimamo mkali anautoa wapi.

Finally ni waziri gani huyo aliyeenda kumrubuni Mbowe anegotiate na watawala.

Source: Godbless Lema jana
Samia hawezi kuyoa maagizo hayo

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Hi chuki uliyonayo itaja kuua siku moja. sijui alikuingilia.....mpaka umchukie hivyo maana hizi ni siasa tu no situation is permanent.
Yaani ukimgusa Dkt Magufuli lazima wana CCM tukularue. Mlidhani akifa ndiyo mmeshinda, no never, hatukumpenda kwa sababu yupo hai bali till death sisi ni watetezi wa uzalendo wake na tutamuenzi siku zote za uhai wetu. Hiyo chuki nyie ndiyo mliianzisha na mkadhani moto utapoa mpaka muangamie wote kizazi chenu cha magaidi
 
Yaani ukimgusa Dkt Magufuli lazima wana CCM tukularue. Mlidhani akifa ndiyo mmeshinda, no never, hatukumpenda kwa sababu yupo hai bali till death sisi ni watetezi wa uzalendo wake na tutamuenzi siku zote za uhai wetu. Hiyo chuki nyie ndiyo mliianzisha na mkadhani moto utapoa mpaka muangamie wote kizazi chetu cha magaidi
Mfate ukalale nae kaburini.
 
Utakuwa na wewe ni kichaaa mwenzake...
 
Hope mko poa wakuu, hii habari sio maneno yangu, ni siri iliyotobolewa na mjumbe wa kamati kuu ya Chadema, Godbless Lema.

Lema amesema kuna waziri ndani ya serikali ya SSH, alienda gerezani kumtembelea Mbowe, waziri huyo alifanya kikao na Mbowe gerezani, na alimshawishi vitu vifuatavyo.

Mama hana shida na Mbowe, na yuko tayari kumrudishia vitu vyake vyote alivyonyanganywa kama Billicanas, pesa zake alizonyanganywa na mali zote.

Lema ameongeza kuwa SSH, hataki stress so Mbowe aachane kabisa na wabunge wa Covid-19, hasiwaongelee kabisa.

Mwisho achane kabisa na katiba mpya, yaani hasilizungumzie ilo la Katiba Mpya, na mbeleni wangeweza kukaa mezani na kutengeneza katiba ya kufanya kazi kwa pamoja (hapa walitaka wa negotiate Power).

Lema ameongeza kuwa Mbowe alimpigia simu akiwa na hasira sana, na alikataa mapendekezo yote yaliyoletwa na huyo waziri, alimjibu waziri huyo kuwa yuko tayari kufia magereza lakini hawezi negotiate masuala ya haki.

Nimeshtuka sana kusikia maneno ya Lema, yaani sisi tunaumia na Mbowe kuwa gerezani, lakini Mbowe hata haogopi kitu, na ni wazi serikali wanachanganyikiwa huyu mtu huu msimamo mkali anautoa wapi.

Finally ni waziri gani huyo aliyeenda kumrubuni Mbowe anegotiate na watawala.

Source: Godbless Lema jana
Sitaki kabisa mimi kusikia upumbavu huu wa Lema na Mbowe.Kubuni habari ili ionekane serikali inashulishwa na swala la Mbowe ni upuuzi.Yeye a,subiri haki itatendeka tu,yeye siyo gaidi wala muhujumu uchumi
.
 
Mfate ukalale nae kaburini.
Mnama uwe na adabu. Li mbowe ningekwa jaji ningelihukumu lichapwe fimbo za uchi ishirini lilieeeee baada ya hapo nalihukumu kunyongwa hadi kufa kabisa. Sisi tulishalia, ila ninyi mnayapata machungu na bado
 
Lema alipigiwa simu na Mbowe akiwa gerezani?

Yaani Mbowe anaruhusiwa kutumia simu kuwasiliana na watu akiwa gerezani?

Kama hivyo ndivyo huoni kuwa huyo Lema anamchongea kiongozi wake kwa mamlaka?
Na mimi pia najiuliliza swali hilohilo?au kuna utaratibu mpya gerezani siku hizi ambao sisi hatuujuui
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Sasa ndio umedhirisha ujinga wako.Time difference inazuia kuwasiliana ukiwa gerezani .Hivi unajua tunapishana saa ngapi na Canada?
Halafu unaqoute watu jaribu kuqoute niliyoandika.
Gerezani watu hawana uhuru wa kuwasiliana kwa simu kama unavyotaka tuamini uzushi wako.
Tena international call!!
Huyo Lema nae ni mzushi tu.
Tikiti maji kabisa Kama Lema space za saa Mbili anachangia vizuri, anashindwa kupanga muda ata Kama Ni usiku wa manane kuwasiliana na Mbowe
 
Yaani ukimgusa Dkt Magufuli lazima wana CCM tukularue. Mlidhani akifa ndiyo mmeshinda, no never, hatukumpenda kwa sababu yupo hai bali till death sisi ni watetezi wa uzalendo wake na tutamuenzi siku zote za uhai wetu. Hiyo chuki nyie ndiyo mliianzisha na mkadhani moto utapoa mpaka muangamie wote kizazi chetu cha magaidi
Wahuni waliua, wakazika chato hao ndo wahuni[emoji1][emoji1]
 
Back
Top Bottom