MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 8,974
- 12,662
Mkuu....anything is possible duniani hapa...Kumbe Gerezani wana piga simu hadi Ulaya tena kwa hasira
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu....anything is possible duniani hapa...Kumbe Gerezani wana piga simu hadi Ulaya tena kwa hasira
Gaidi no.1tulimzika Chato bado no, 20 naye siku zinahesabikaAcheni upotoshaji ,nchi za wengine gaidi anafanyiwa majaribio ya silaha hatari lakini tushukuru Tanzania tunapata walau muda wa kumsikiliza
hivi Samia hakuwa naibu spika wa bunge la katiba?.....huu ni unafiki wa kiwango cha hali ya juuHope mko poa wakuu, hii habari sio maneno yangu, ni siri iliyotobolewa na mjumbe wa kamati kuu ya Chadema, Godbless Lema.
Lema amesema kuna waziri ndani ya serikali ya SSH, alienda gerezani kumtembelea Mbowe, waziri huyo alifanya kikao na Mbowe gerezani, na alimshawishi vitu vifuatavyo.
Mama hana shida na Mbowe, na yuko tayari kumrudishia vitu vyake vyote alivyonyanganywa kama Billicanas, pesa zake alizonyanganywa na mali zote.
Lema ameongeza kuwa SSH, hataki stress so Mbowe aachane kabisa na wabunge wa Covid-19, hasiwaongelee kabisa.
Mwisho achane kabisa na katiba mpya, yaani hasilizungumzie ilo la Katiba Mpya, na mbeleni wangeweza kukaa mezani na kutengeneza katiba ya kufanya kazi kwa pamoja (hapa walitaka wa negotiate Power).
Lema ameongeza kuwa Mbowe alimpigia simu akiwa na hasira sana, na alikataa mapendekezo yote yaliyoletwa na huyo waziri, alimjibu waziri huyo kuwa yuko tayari kufia magereza lakini hawezi negotiate masuala ya haki.
Nimeshtuka sana kusikia maneno ya Lema, yaani sisi tunaumia na Mbowe kuwa gerezani, lakini Mbowe hata haogopi kitu, na ni wazi serikali wanachanganyikiwa huyu mtu huu msimamo mkali anautoa wapi.
Finally ni waziri gani huyo aliyeenda kumrubuni Mbowe anegotiate na watawala.
Source: Godbless Lema jana
Ni huyu huyu lema alijifanya kutabiri kifo cha Dkt Magufuli kumbe wana magenge ya kutaka kumuua yaani waliandaa mazingira kwa kutoa kauli
Kumbe walipanga mipango. Shame on them
Si ndiyo hapo gaidi mbowe alifurahia na jambazi lema kala konaMbona sasa aliuawa?
Uongo tu na usanii wa lema kufikiri kwa kufanya hivyo anaongeza umashuhuri wa mbowe.Hope mko poa wakuu, hii habari sio maneno yangu, ni siri iliyotobolewa na mjumbe wa kamati kuu ya Chadema, Godbless Lema.
Lema amesema kuna waziri ndani ya serikali ya SSH, alienda gerezani kumtembelea Mbowe, waziri huyo alifanya kikao na Mbowe gerezani, na alimshawishi vitu vifuatavyo.
Mama hana shida na Mbowe, na yuko tayari kumrudishia vitu vyake vyote alivyonyanganywa kama Billicanas, pesa zake alizonyanganywa na mali zote.
Lema ameongeza kuwa SSH, hataki stress so Mbowe aachane kabisa na wabunge wa Covid-19, hasiwaongelee kabisa.
Mwisho achane kabisa na katiba mpya, yaani hasilizungumzie ilo la Katiba Mpya, na mbeleni wangeweza kukaa mezani na kutengeneza katiba ya kufanya kazi kwa pamoja (hapa walitaka wa negotiate Power).
Lema ameongeza kuwa Mbowe alimpigia simu akiwa na hasira sana, na alikataa mapendekezo yote yaliyoletwa na huyo waziri, alimjibu waziri huyo kuwa yuko tayari kufia magereza lakini hawezi negotiate masuala ya haki.
Nimeshtuka sana kusikia maneno ya Lema, yaani sisi tunaumia na Mbowe kuwa gerezani, lakini Mbowe hata haogopi kitu, na ni wazi serikali wanachanganyikiwa huyu mtu huu msimamo mkali anautoa wapi.
Finally ni waziri gani huyo aliyeenda kumrubuni Mbowe anegotiate na watawala.
Source: Godbless Lema jana
Alimpigia Lema kutoka kwenye simu zake zinazotumika kama.kidhibiti mahakamani au?Hope mko poa wakuu, hii habari sio maneno yangu, ni siri iliyotobolewa na mjumbe wa kamati kuu ya Chadema, Godbless Lema.
Lema amesema kuna waziri ndani ya serikali ya SSH, alienda gerezani kumtembelea Mbowe, waziri huyo alifanya kikao na Mbowe gerezani, na alimshawishi vitu vifuatavyo.
Mama hana shida na Mbowe, na yuko tayari kumrudishia vitu vyake vyote alivyonyanganywa kama Billicanas, pesa zake alizonyanganywa na mali zote.
Lema ameongeza kuwa SSH, hataki stress so Mbowe aachane kabisa na wabunge wa Covid-19, hasiwaongelee kabisa.
Mwisho achane kabisa na katiba mpya, yaani hasilizungumzie ilo la Katiba Mpya, na mbeleni wangeweza kukaa mezani na kutengeneza katiba ya kufanya kazi kwa pamoja (hapa walitaka wa negotiate Power).
Lema ameongeza kuwa Mbowe alimpigia simu akiwa na hasira sana, na alikataa mapendekezo yote yaliyoletwa na huyo waziri, alimjibu waziri huyo kuwa yuko tayari kufia magereza lakini hawezi negotiate masuala ya haki.
Nimeshtuka sana kusikia maneno ya Lema, yaani sisi tunaumia na Mbowe kuwa gerezani, lakini Mbowe hata haogopi kitu, na ni wazi serikali wanachanganyikiwa huyu mtu huu msimamo mkali anautoa wapi.
Finally ni waziri gani huyo aliyeenda kumrubuni Mbowe anegotiate na watawala.
Source: Godbless Lema jana
Mbowe lifie gerezani kabisa maana hii chuki mmeianzisha wenyewe, mlifanya sherehe bila kificho kifo cha mpendwa wetuGaidi no.1tulimzika Chato bado no, 20 naye siku zinahesabika
Kumbe Gerezani wana piga simu hadi Ulaya tena kwa hasira
Si ndiyo hapo gaidi mbowe alifurahia na jambazi lema kala kona
Uhuru wa habarii 😂😂😂Kumbe Gerezani wana piga simu hadi Ulaya tena kwa hasira
Kwa hiyo Lema,ndio chawa wa Mbowe hadi ayajue yeye hayo kabla ya Katibu wa Chama?
Na hiviiii wafungwa wanaruhusiwa kupiga simu tena kuongea na walio nje ya nchi?
'Rais Magufuli atende haki, asipotenda haki, atakufa akiwa madarakani' - LemaHamna kitu , tafuteni watu proffessional wa kutengeneza kiki
Hahaha subiri sasa apate mateso huyo gaidi wenuTukisherehekea kifo cha mwehu muuaji katili, bado hukumu itawaandama hata wasaidizi wake
Akiozea jera unawashwa na nini[emoji1]Kwa Stress gani huyo Mbowe anazompa Rais hadi amtume Waziri akampange, yeye kua gerezani kuna kitu gani kimepungua ndio kwaaaaaanza anazidi kuchanja mbuga,
Mbowe aombe msamaha atolewe ataozea jela shauri zake.
Mazuri yote anayofanya Samia, ni sawa na jambazi akakirimia biriani. Ule, lakini haibadilishi chochote kuwa huyo aliyekupa ni jambazi.Hii dhambi ya kumuweka Mbowe gerezani wakati ikijulikana wazi hana hatia yoyote, itamsumbua sana Samia na utawala wake.
Hata afanye jema lipi, hili la Mbowe ni doa kubwa katika utawala wake..
Tulimsema sana JPM hapahapa JF na utawala wake usio wa haki, utawala wa mabavu wa kuteka-teka watu na kuuwa watu ovyo, na March 17 Mwaka 2021 MUNGU akajibu, tulirudi kati na kuanza upya..
Hili la Mbowe kuwekwa jela pasipo haki halitoiacha hii serikali salama..
MUNGU hadhihakiwi kwa namna yoyote ile hata mara moja..
Ee Mwenyezi MUNGU, ni wakati wa kutenda sasa.
Cheki hii tikiti, time difference ndo inazuia watu kuwasiliana[emoji1]Eti Mbowe alimpigia simu Lema bila kusahau time difference ya Tanzania na Canada tena akiwa gerezani!!
Za kusikia changanya na zako.
Nenda katunge tena ngonjera halafu rudi hapa ukiwa na uzushi ambao labda watu wanaweza kuuamini.