Ni Waziri gani alikwenda gerezani kumshawishi Freeman Mbowe?

Ni Waziri gani alikwenda gerezani kumshawishi Freeman Mbowe?

Mbowe ni VIP, international figure,akifia gerezani serikali itatokwa na kamasi kujibu, Ila wewe ukifia gerezani wanafukia tu
Wacha weee.. naona mtoto wa kiume unampa sifa zisizomstahili mwanaume mwenzio huku we mwenyew ukijinyima sifa hizo. Nilizani mkewe ndo angekuwa mbele kumsifu na kumpambania mumewe, kumbe na wewe ni mmoja wa watoa sifa za mume wa mtu.. hongera.
 
Kuna nyumbu wataamini haya maneno.
Yatakuja kunengua eti gaidi kapiga simu America akiwa na hasira Sana.
Haya magereza yetu kumbe siyo jela.
 
Kuna nyumbu wataamini haya maneno.
Yatakuja kunengua eti gaidi kapiga simu America akiwa na hasira Sana.
Haya magereza yetu kumbe siyo jela.
Ulimsikia Mangula alichosema wakati wa maandalizi ya kikao cha wadau wa siasa?? acha kulala usingizi we lumumba kama hujui kitu kaa kimya.

Hii kesi inamtesa Mbowe na wenzake lakini inawatesa pia walioitunga.

Kuifuta ngumu kuiamua ngumu pia.
 
Ni huyu huyu lema alijifanya kutabiri kifo cha Dkt Magufuli kumbe wana magenge ya kutaka kumuua yaani waliandaa mazingira kwa kutoa kauli
Kumbe walipanga mipango. Shame on them
Mkuu huu ujumbe wako ukiwa channelled kwenye vyombo vya usalama utakuwa tayari kutoa ushahidi?
 
Ni huyu huyu lema alijifanya kutabiri kifo cha Dkt Magufuli kumbe wana magenge ya kutaka kumuua yaani waliandaa mazingira kwa kutoa kauli
Kumbe walipanga mipango. Shame on them
Kwenye hili unamuonea Lema.
Dakatari wenu alijitakia mwenyewe.
Jifunzeni kwa SSH.
 
Liacheni lifungwe gaidi
Mbowe haogopi, CHADEMA haiogopi mlichopanga wakati mkibumba. Mungu wa haki atatatuwa yote.
Yaonekana kuwa NADHIRI uliyofunga na shetani ndio yakutesa na kukufanya uweweseke.
Siku ukiwa kwenye zamu yako ya kulinda kaburi kule Burigi itafaa ukampigia Mwendazake ili ujue alishindwa wapi.
 
Hope mko poa wakuu, hii habari sio maneno yangu, ni siri iliyotobolewa na mjumbe wa kamati kuu ya Chadema, Godbless Lema.

Lema amesema Kuna waziri ndani ya serikali ya SSH, alienda gerezani kumtembelea Mbowe, waziri huyo alifanya kikao na Mbowe gerezani, na alimshawishi vitu vifatavyo.

- mama hana shida na Mbowe, na Yuko tiyari kumrudishia vitu vyake vyote alivyonyanganywa Kama Billicanas, pesa zake alizonyanganywa na Mali zote

- Lema ameongeza kuwa SSH, hataki stress so Mbowe aachane kabisa na wabunge wa Covid-19, hasiwaongelee kabisa

- mwisho achane kabisa na katiba mpya, yaani Hasilizungumzie ilo la Katiba mpya, na mbeleni wangeweza kukaa mezani na kutengeneza katiba ya kufanya kazi kwa pamoja( hapa walitaka wa negotiate Power)

- Lema ameongeza kuwa Mbowe alimpigia simu akiwa na hasira Sana, na alikataa mapendekezo yote yaliyoletwa na huyo waziri, na alimjibu waziri huyo kuwa Yuko tayari kufia magereza lakini hawezi negotiate maswala ya haki.

Nimeshtuka Sana kusikia maneno ya Lema, yaani sisi tunaumia na Mbowe kuwa gerezani, lakini Mbowe ata haogopi kitu, na ni wazi serikali wanachanganyikiwa huyu mtu huu msimamo mkali anautoa wapi.

Finally Ni waziri gani huyo aliyeenda kumrubuni Mbowe anegotiate na watawala.

Source.Godbless Lema jana
Wewe unayeleta mambo haya ya kitoto hapa nawe tunakuona ni mtoto vilevile. Hivi huwezi kuchanganya na akili yako?
 
Back
Top Bottom