Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 2,228
- 3,045
- Thread starter
- #21
Tena Sana tu, Mbowe ni VIPKumbe Gerezani wana piga simu hadi Ulaya tena kwa hasira
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena Sana tu, Mbowe ni VIPKumbe Gerezani wana piga simu hadi Ulaya tena kwa hasira
Na alikufa[emoji14][emoji14]Ni huyu huyu lema alijifanya kutabiri kifo cha Dkt Magufuli kumbe wana magenge ya kutaka kumuua yaani waliandaa mazingira kwa kutoa kauli
Kumbe walipanga mipango. Shame on them
Mmmm mie nadhani MwiguluFebruary Katani
Acha tu mkuuHio inafahamika vizuri tu uongozi wanejaa mainfants kibao, CCM ni kitufe mfu tu.
Mbowe ndo anamsimamo akiamua atoke Leo Ni kitendo Cha kutuma ujumbe kuwa akitoka atakaa kimya,watamtoa chapKama ndio ivyo, Chadema tuache kulalamika mmna kupiga Kelele Mbowe aachiwe.
Endeleeni kuumia.Hope mko poa wakuu, hii habari sio maneno yangu, ni siri iliyotobolewa na mjumbe wa kamati kuu ya Chadema, Godbless Lema.
Lema amesema Kuna waziri ndani ya serikali ya SSH, alienda gerezani kumtembelea Mbowe, waziri huyo alifanya kikao na Mbowe gerezani, na alimshawishi vitu vifatavyo.
- mama hana shida na Mbowe, na Yuko tiyari kumrudishia vitu vyake vyote alivyonyanganywa Kama Billicanas, pesa zake alizonyanganywa na Mali zote
- Lema ameongeza kuwa SSH, hataki stress so Mbowe aachane kabisa na wabunge wa Covid-19, hasiwaongelee kabisa
- mwisho achane kabisa na katiba mpya, yaani Hasilizungumzie ilo la Katiba mpya, na mbeleni wangeweza kukaa mezani na kutengeneza katiba ya kufanya kazi kwa pamoja( hapa walitaka wa negotiate Power)
- Lema ameongeza kuwa Mbowe alimpigia simu akiwa na hasira Sana, na alikataa mapendekezo yote yaliyoletwa na huyo waziri, na alimjibu waziri huyo kuwa Yuko tayari kufia magereza lakini hawezi negotiate maswala ya haki.
Nimeshtuka Sana kusikia maneno ya Lema, yaani sisi tunaumia na Mbowe kuwa gerezani, lakini Mbowe ata haogopi kitu, na ni wazi serikali wanachanganyikiwa huyu mtu huu msimamo mkali anautoa wapi.
Finally Ni waziri gani huyo aliyeenda kumrubuni Mbowe anegotiate na watawala.
Source.Godbless Lema jana
Yaani hao ndo wa ku negotiate na mwambaMche...rwa
Sasa anaogopa nini kumtaja kwa jina?Waziri kabisa acha bangi bwashee
Mwigullu Nchemba na Mbowe wote ni wafadhili wa Yanga utopolo!Mmmm mie nadhani Mwigulu
Ndo hvyoKumbe Gerezani wana piga simu hadi Ulaya tena kwa hasira
Samia mwenyewe linamchosha hatari, kila akienda nje kwenye interview lazima aulizwe swala la Mbowe[emoji1]Hii dhambi ya kumuweka Mbowe gerezani wakati ikijulikana wazi hana hatia yoyote, itamsumbua sana Samia na utawala wake.
Hata afanye jema lipi, hili la Mbowe ni doa kubwa katika utawala wake..
Tulimsema sana JPM hapahapa JF na utawala wake usio wa haki, utawala wa mabavu wa kuteka-teka watu na kuuwa watu ovyo, na March 17 Mwaka 2021 MUNGU akajibu, tulirudi kati na kuanza upya..
Hili la Mbowe kuwekwa jela pasipo haki halitoiacha hii serikali salama..
MUNGU hadhihakiwi kwa namna yoyote ile hata mara moja..
Ee Mwenyezi MUNGU, ni wakati wa kutenda sasa.
Lema jambaziLema hajawahi kuwa mnafiki au msema uongo kama ilivyo ktk ccm, muda ni mwalimu mzuri sana ipo siku litakuwa hadharani!
Ndo hivyoLema hajawahi kuwa mnafiki au msema uongo kama ilivyo ktk ccm, muda ni mwalimu mzuri sana ipo siku litakuwa hadharani!
Yanga imeingiaje bwasheeMwigullu Nchemba na Mbowe wote ni wafadhili wa Yanga utopolo!
Who[emoji1]Endeleeni kuumia.
Kume ni mkwe mtu! ok yajayo yanafurahisha tik tik tuk tuk wait!Mche...rwa
Labda walienda kuongelea mambo ya klabu yao!Yanga imeingiaje bwashee
😀😀😀🙏🙏🙏Kumbe Gerezani wana piga simu hadi Ulaya tena kwa hasira
Hope mko poa wakuu, hii habari sio maneno yangu, ni siri iliyotobolewa na mjumbe wa kamati kuu ya Chadema, Godbless Lema.