Ni Waziri gani alikwenda gerezani kumshawishi Freeman Mbowe?

Ni Waziri gani alikwenda gerezani kumshawishi Freeman Mbowe?

Yote yanawezekana. Lakini Kunegotiate maswala ya haki inauma sana. Kwa mtu kama mbowe hana njaa wangekuwa wale wengine chaaa!!
Yaani Mbowe akiwaambia wampe Billions awe kimya watampa[emoji1]
 
Yanadhidi kudhihirika. Uwepo wake mbowe na kukataa masharti yote kunawatia mawazo hawana raha.

Furaha yao ilikuwa baada ya kumpa masharti magumu waone akikubali.

Mungu amesimama upande wa haki.
Mawazo makari sana
 
Wacha weee.. naona mtoto wa kiume unampa sifa zisizomstahili mwanaume mwenzio huku we mwenyew ukijinyima sifa hizo. Nilizani mkewe ndo angekuwa mbele kumsifu na kumpambania mumewe, kumbe na wewe ni mmoja wa watoa sifa za mume wa mtu.. hongera.
Do you know who am I?
 
Ulimsikia Mangula alichosema wakati wa maandalizi ya kikao cha wadau wa siasa?? acha kulala usingizi we lumumba kama hujui kitu kaa kimya.

Hii kesi inamtesa Mbowe na wenzake lakini inawatesa pia walioitunga.

Kuifuta ngumu kuiamua ngumu pia.
Alisemaje
 
Ni huyu huyu lema alijifanya kutabiri kifo cha Dkt Magufuli kumbe wana magenge ya kutaka kumuua yaani waliandaa mazingira kwa kutoa kauli
Kumbe walipanga mipango. Shame on them
Kwa nini hamkumdhibiti? Manyoko nyie.
 
Kwa Stress gani huyo Mbowe anazompa Rais hadi amtume Waziri akampange, yeye kua gerezani kuna kitu gani kimepungua ndio kwaaaaaanza anazidi kuchanja mbuga,

Mbowe aombe msamaha atolewe ataozea jela shauri zake.
 
Eti Mbowe alimpigia simu Lema bila kusahau time difference ya Tanzania na Canada tena akiwa gerezani!!
Za kusikia changanya na zako.
Nenda katunge tena ngonjera halafu rudi hapa ukiwa na uzushi ambao labda watu wanaweza kuuamini.
 
Ni huyu huyu lema alijifanya kutabiri kifo cha Dkt Magufuli kumbe wana magenge ya kutaka kumuua yaani waliandaa mazingira kwa kutoa kauli
Kumbe walipanga mipango. Shame on them
Ushahidi huo unao? Kwa nini usiende kuisaidia serikali katika Hilo?
 
Kwa hiyo Lema,ndio chawa wa Mbowe hadi ayajue yeye hayo kabla ya Katibu wa Chama?

Na hiviiii wafungwa wanaruhusiwa kupiga simu tena kuongea na walio nje ya nchi?
 
Back
Top Bottom