ORCA ACE
JF-Expert Member
- Jan 18, 2020
- 1,449
- 1,708
Ingia ulifaidi hilo
Kumbe Gerezani wana piga simu hadi Ulaya, tena kwa hasira
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe Gerezani wana piga simu hadi Ulaya, tena kwa hasira
Mche...rwa
Akili hamnagaLemaa naye, hivi hata kama ni kweli ndivyo ethics zilivyo hivyo? Confidentiality maana yake ni nini? Je bedroom matters nazo anasema hivi hivi? Bora Mwijaaku kuliko huyu jamaa.
Lakini magaidi wa nchi za wengine, huwezi ona Diplomats wanaenda kwenye kesi zao[emoji1]
Jitahidi kuwa mwanaume mtu mwenye msimamo.Na ya kwako nayo nime like, usikonde
Unaweza ukanya kwenye meza na ukasema ni choo kwa kuwa tu una msimamo.Jitahidi kuwa mwanaume mtu mwenye msimamo.
Bata mzinga nimeaanisha Lema mbona anaudhuria spaceHalafu huko jela au mahabusu kuna access ya space usiku wa manane.Hivi kwenye kichwa chako kuna makamasi au ubongo.
Yaani Mbowe anaamka usiku wa manane kushiriki kwenye space tena akiwa mahabusu.Huku Mbowe akilalamika kwamba wakitoka kwenye kesi wanakuta wenzao wamelala?Unaishi kwenye sayari gani wewe kiazi?
Ila siasa za Kibajaji, Babu Tale na Msukuma ndo zimepamba motoLema nae aache mipasho....yaani sometimes nasikitika chadema kuwa na mtu wa sampuli hii....siasa zake zimepitwa na wakati.
Huo ujinga utauacha lini?Aliongeana na Mbowe kwenye nini?Na saa ngapi?Bata mzinga nimeaanisha Lema mbona anaudhuria space
Akili za..........................changanya na zako jombaaa.
Kumbe?Mazuri yote anayofanya Samia, ni sawa na jambazi akakirimia biriani. Ule, lakini haibadilishi chochote kuwa huyo aliyekupa ni jambazi.
Hakuna mtu mwema, mkweli na mwaminifu wa nafsi, anaweza kutumia madaraka yake kuwatesa watu wengine. Hila na uovu wa Samia dhidi ya Mbowe ni uthibitisho usio na shaka kwamba Samia ana Roho ya shetani. Mema anayoyafanya ni hila tu za kuwadanganya wasio na upeo.
Hizi rushwa hizi! Naona mwami ameishanasaHope mko poa wakuu, hii habari sio maneno yangu, ni siri iliyotobolewa na mjumbe wa kamati kuu ya Chadema, Godbless Lema.
Lema amesema kuna waziri ndani ya serikali ya SSH, alienda gerezani kumtembelea Mbowe, waziri huyo alifanya kikao na Mbowe gerezani, na alimshawishi vitu vifuatavyo.
Mama hana shida na Mbowe, na yuko tayari kumrudishia vitu vyake vyote alivyonyanganywa kama Billicanas, pesa zake alizonyanganywa na mali zote.
Lema ameongeza kuwa SSH, hataki stress so Mbowe aachane kabisa na wabunge wa Covid-19, hasiwaongelee kabisa.
Mwisho achane kabisa na katiba mpya, yaani hasilizungumzie ilo la Katiba Mpya, na mbeleni wangeweza kukaa mezani na kutengeneza katiba ya kufanya kazi kwa pamoja (hapa walitaka wa negotiate Power).
Lema ameongeza kuwa Mbowe alimpigia simu akiwa na hasira sana, na alikataa mapendekezo yote yaliyoletwa na huyo waziri, alimjibu waziri huyo kuwa yuko tayari kufia magereza lakini hawezi negotiate masuala ya haki.
Nimeshtuka sana kusikia maneno ya Lema, yaani sisi tunaumia na Mbowe kuwa gerezani, lakini Mbowe hata haogopi kitu, na ni wazi serikali wanachanganyikiwa huyu mtu huu msimamo mkali anautoa wapi.
Finally ni waziri gani huyo aliyeenda kumrubuni Mbowe anegotiate na watawala.
Source: Godbless Lema jana
Sio kwamba anaendeleza utoto tu na hao wanaomsikiliza sijui wanaendeleza nini?naona utoto unaendelea..
Lema sidhani kama yuko sawa kichwani..