Sendoro Mbazi
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 3,329
- 2,169
Hi wachaga wako ndani ya hifadhi ya kinapa ?View attachment 3075375
Kama kuna kivutio cha utalii kinachojulikana duniani ni mlima Kilimanjaro.
Kivutio hiki kinaingiza watalii wengi sana mwaka hadi mwaka.
Jamaa wanaokaa karibu, ndugu zangu wachaga, wanachoma moto mazingira na kuharibu uoto kila mwaka.
Wahamishwe kwenda Msomera , Kilindi Tanga.
Kama imewezekana Ngorongoro, huku tutashindwa nini?
Wasalaam Aleikhum.
NB
Sitaki matusi.