Ni wazo tu: Wachaga wahamishwe maeneo ya Mlima Kilimanjaro!

Kila nyumba ina makaburi manne kwenda mbele

Tunaishi na makaburi na maeneo mengi ya matambiko, tena kuna matambiko hatari huko Rombo

Yatawstesa sana damu nyingi za mifugo zimemwagika Rombo.

Sio rahisi kama ilivyo
 
View attachment 3075375
Kama kuna kivutio cha utalii kinachojulikana duniani ni mlima Kilimanjaro.
Kivutio hiki kinaingiza watalii wengi sana mwaka hadi mwaka.
Jamaa wanaokaa karibu, ndugu zangu wachaga, wanachoma moto mazingira na kuharibu uoto kila mwaka.
Wahamishwe kwenda Msomera , Kilindi Tanga.

Kama imewezekana Ngorongoro, huku tutashindwa nini?
Wasalaam Aleikhum.

NB
Sitaki matusi.
Kwanza tupewe autonomy yetu kama ilivyokuwa kabla ya uhuru halafu tuanze mchakato wa kuuwa CCM na viongozi wake wote.
 
View attachment 3075375
Kama kuna kivutio cha utalii kinachojulikana duniani ni mlima Kilimanjaro.
Kivutio hiki kinaingiza watalii wengi sana mwaka hadi mwaka.
Jamaa wanaokaa karibu, ndugu zangu wachaga, wanachoma moto mazingira na kuharibu uoto kila mwaka.
Wahamishwe kwenda Msomera , Kilindi Tanga.

Kama imewezekana Ngorongoro, huku tutashindwa nini?
Wasalaam Aleikhum.

NB
Sitaki matusi.
Wewe inaonekana ni wale watu wenye chuki na wachaga kwani hii siyo post yako ya kwanza kuonyesha chuki.
 
FB_IMG_17238946795555111.jpg
 
View attachment 3075375
Kama kuna kivutio cha utalii kinachojulikana duniani ni mlima Kilimanjaro.
Kivutio hiki kinaingiza watalii wengi sana mwaka hadi mwaka.
Jamaa wanaokaa karibu, ndugu zangu wachaga, wanachoma moto mazingira na kuharibu uoto kila mwaka.
Wahamishwe kwenda Msomera , Kilindi Tanga.

Kama imewezekana Ngorongoro, huku tutashindwa nini?
Wasalaam Aleikhum.

NB
Sitaki matusi.
Tangazo likitoka tuu la kufanya hivyo,basi ukombozi wa pili na wa kweli wa Tanganyika ndio utakapotokea huko.
 
Carleen nahitaji maoni yako..
Mimi binafsi siamini kwenye kuhamisha watu na kuwatoa kwenye makazi yao, ningetamani zaidi hiyo nguvu ingeelekezwa zaidi kwenye ELIMU ya utunzaji wa hizo maliasili..!!

tukisema tuwahamishe tutahamisha wepi na kuacha wepi..? Sote tunafahamu kuwa asilimia kubwa sana ya nchi yetu imezungukwa na ardhi yenye kila aina ya utajiri, tutafika pahala itabidi tuhamishe wakazi wa nchi nzima sasa..!

Ila ukhalisia unabaki pale pale hakuna nguvu yoyote inawekwa kwenye kulinda vivutio vyetu, tunataka tu faida bila kutengeneza mazingira madhubuti ya kulinda mazingira yetu..!!

Usinifanye niandike gazeti kwa uchungu mkuu kwa yanayotendeka..!!
 
Unakuta mtoa post hajawahi hata kufika geti la mlima kilimanjaro anauonaga tu kwenye Tz Safari channel
 
Mimi binafsi siamini kwenye kuhamisha watu na kuwatoa kwenye makazi yao, ningetamani zaidi hiyo nguvu ingeelekezwa zaidi kwenye ELIMU ya utunzaji wa hizo maliasili..!!

tukisema tuwahamishe tutahamisha wepi na kuacha wepi..? Sote tunafahamu kuwa asilimia kubwa sana ya nchi yetu imezungukwa na ardhi yenye kila aina ya utajiri, tutafika pahala itabidi tuhamishe wakazi wa nchi nzima sasa..!

Ila ukhalisia unabaki pale pale hakuna nguvu yoyote inawekwa kwenye kulinda vivutio vyetu, tunataka tu faida bila kutengeneza mazingira madhubuti ya kulinda mazingira yetu..!!

Usinifanye niandike gazeti kwa uchungu mkuu kwa yanayotendeka..!!
Good, kwa haya maoni hii topic ingefaa iishie hapa.. umejibu vizuri sana.
 
Scenario ya Wachagga na Wamasai ziko tofauti.ngorongoro kuna watu na mifugo na wako ndani ya hifadhi lkn Wachagga wako nje ya hifadhi na kama swala la moto ni elimu tu basi lkn ngorongoro idadi ya watu na mifugo inaongezeka kwa kasi kubwa hivyo kuhatarisha hata hifadhi yenyewe.
 
Wamasai nao bwana wametunza mishuka, mipanga na shanga wakasahau kutunza na ndumba za wazee wao ....huyo anae wahamisha wangempiga chuma cha kimasai tukaseka ina lilahi fasta sasa wanalia lia tu kifara.
Kuna sehemu kukakosekana Ndumba?!! [emoji16]

Zingekuwa ndizo zinazomaliza mchezo kila zikifanywa basi wapalestina wangemtandika nazo NETANYAHU[emoji1787]

#JMT milele dumu[emoji7][emoji7]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom