Ni wazo tu: Wachaga wahamishwe maeneo ya Mlima Kilimanjaro!

Hi wachaga wako ndani ya hifadhi ya kinapa ?
 
Na wazanzibari wahamishwe Comoro kupisha utalii endelevu
 
Wewe utakua umezaliwa juzi

Kama una miaka zaidi ya 30 na ulizaliwa kijijini Moshi ukakulia huko huko kwa miaka yote,uoto uliokuwepo 30 years ago sio wa leo

Nearly 50% ya ule uoto umepotea

Kwa picha yako uliyodiriki kuweka,naona kahawa na mgomba umechoka kinoma halafu unajitia eti una "kijani"!

What a joke!

Kinachomaliza Moshi ni "vihamba" system kimekula ardhi yote ya migomba na kahawa na kua essentially makazi,tena makazi duni maana kila alie na kazi lazima apeleke tofali,what a shame!
 
umetumwa na mabeberu kutuhadaa wachaga😃😃😃
wazee wamesema leteni mkandarasi chimbeni mlima wenu mkaweke tanga
 
Kwanza hiyo picha ya mlima siyo uhalisia.
Pili serikali ya ccm siku ikibaini kuna madini yenye thamani huko milimani bila shaka ufutaji na uhamisho utafanywa!

NB: Tayari pale Tindigani KIA washafanya.
 
Ingekua hiyo fursa waliyopata wamasai imeenda kwa wachaga ungekua wote wako msomera wanasubiri nyumba zao ziishe wangejihamisha wenyewe wanajua kucheza na fursa.
 
Kwamba kila ifikapo mwezi December misafara ya Wachaga inakuwa inaelekea Mahenge na Ifakara au Rufiji?
 
Naunga mkono hoja, infact napendekeza Watanzania wote tuhamishwe tupelekwe jangwa la SAHARA ili kupisha vivutio vya kitalii vilivyotapakaa kila mahali nchini visiharibike.
 
Kwani mlima nao mnataka kuufanyaje?
Mnataka kuwaleta na huko?
 
Ni kweli pia hapa Kizimkazi kuna fukwe nzuri sana zinazovutia watalii.

Tunaomba nasi watu wa kizimkazi tuhamishwe tuhamie Msomera ili zijengwe hotel nzuri na fukwe ziboreshwe na kuwa nzuri na bora kwa watalii.
 
Kunaongeza kura!!?kutaongeza uchumi!!?think logically!!

Ngoma ya wamasai haijatulia unataka uanzishe nyingine!!
Acheni hizo wakuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…