Ni week sipo sawa baada ya mpenzi wangu kuyaona makalio yangu

Hii nchi ngumu sana na watu wametoa like kabisa kwenye huu Uzi?.
Nimeumia sana, kama mwanaume mwenye heshima zangu na kijana smart, kuonekana makalio yangu na mpenzi wangu.

Ni week sasa nakula mlo mmoja tu kwa siku tena kwa shida sana, napo ni baada ya kulazimishwa sana.

Yeye hajajua sababu hii ila anaona nimebadilika ghafla, sometimes napiga mito kwa hasira na kupiga vikombe na kung'ata meno yangu. Sijui nitawezaje kuishi na mke kwa hali hii.

Now sitaki kumuona mpaka ni recover kutoka kwenye hii hali, sitoruhusu tena kuvaa mbele yake baada ya tendo. Hapa nadondosha chozi na screen imeloa kiasi chake, kwa uchungu nilionao.

Anyway tusaidiane kwa hili, naona muda unayoyoma na dalili ya ku recover siioni!
 
Una uhakika hauna ugoro mdomoni kweli?
 
Yaaani mie naona hamja muelewa huyu jamaa !! manake tako hilo linatema vitu baada ya kuchezewa sana na mijamaa!!....
 
Nimeumia sana, kama mwanaume mwenye heshima zangu na kijana smart, kuonekana makalio yangu na shemeji yangu.

Ni week sasa nakula mlo mmoja tu kwa siku tena kwa shida sana, napo ni baada ya kulazimishwa sana.

Yeye hajajua sababu hii ila anaona nimebadilika ghafla, sometimes napiga mito kwa hasira na kupiga vikombe na kung'ata meno yangu. Sijui nitawezaje kuishi na shemeji kwa hali hii.

Now sitaki kumuona mpaka ni recover kutoka kwenye hii hali, sitoruhusu tena kuvaa mbele yake. Hapa nadondosha chozi na screen imeloa kiasi chake, kwa uchungu nilionao.

Anyway tusaidiane kwa hili, naona muda unayoyoma na dalili ya ku recover siioni. Maumivu nayopata najuta kukaa karibu na shemeji yangu.

Wana JF hii hali inanisumbua sana nifanye nini kutoka katika hali hii.
 
Back
Top Bottom