Ni week sipo sawa baada ya mpenzi wangu kuyaona makalio yangu

Nimeumia sana, kama mwanaume mwenye heshima zangu na kijana smart, kuonekana makalio yangu na mpenzi wangu.

Ni week sasa nakula mlo mmoja tu kwa siku tena kwa shida sana, napo ni baada ya kulazimishwa sana.

Yeye hajajua sababu hii ila anaona nimebadilika ghafla, sometimes napiga mito kwa hasira na kupiga vikombe na kung'ata meno yangu. Sijui nitawezaje kuishi na mke kwa hali hii.

Now sitaki kumuona mpaka ni recover kutoka kwenye hii hali, sitoruhusu tena kuvaa mbele yake baada ya tendo. Hapa nadondosha chozi na screen imeloa kiasi chake, kwa uchungu nilionao.

Anyway tusaidiane kwa hili, naona muda unayoyoma na dalili ya ku recover siioni!
Kwani Kuna ubaya gani mkeo kuona makalio yako?[emoji23][emoji23]
 
................
JamiiForums-1865161531.jpg
 
[emoji849][emoji849][emoji848][emoji1787][emoji1787] ndio mambo yake kageuza story
 
Mashogaa wanaongezekaa kwa kasii sanaa mwanaume unaiambia jamii kuhusu makalio yakoo?acha kuf***rwa mtt wakiumee mbwaa ww
 
Nimeumia sana, kama mwanaume mwenye heshima zangu na kijana smart, kuonekana makalio yangu na mpenzi wangu.

Ni week sasa nakula mlo mmoja tu kwa siku tena kwa shida sana, napo ni baada ya kulazimishwa sana.

Yeye hajajua sababu hii ila anaona nimebadilika ghafla, sometimes napiga mito kwa hasira na kupiga vikombe na kung'ata meno yangu. Sijui nitawezaje kuishi na mke kwa hali hii.

Now sitaki kumuona mpaka ni recover kutoka kwenye hii hali, sitoruhusu tena kuvaa mbele yake baada ya tendo. Hapa nadondosha chozi na screen imeloa kiasi chake, kwa uchungu nilionao.

Anyway tusaidiane kwa hili, naona muda unayoyoma na dalili ya ku recover siioni!
Afya ya akili, serikali inakichukulia hili swala kiuwepesi sana ila kuna shida
 
Back
Top Bottom