moneytalk
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 7,976
- 16,769
nimefanyaje jamaniaisee wewe,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nimefanyaje jamaniaisee wewe,
wewe ni mhuninimefanyaje jamani
Yalaaa mshamba hunitakii mema naonawewe ni mhuni
unataka niachike kenge weweYalaaa mshamba hunitakii mema naona
pisi ya chugahunataka niachike kenge wewe
niko nacheka hapa maana kuna mtu huwa anapita mbele yangu bila wasiwasi akiwa uchi. mbona ni kitu cha kawaida tu. tena me napenda kuyaonaNimeumia sana, kama mwanaume mwenye heshima zangu na kijana smart, kuonekana makalio yangu na mpenzi wangu.
Ni week sasa nakula mlo mmoja tu kwa siku tena kwa shida sana, napo ni baada ya kulazimishwa sana.
Yeye hajajua sababu hii ila anaona nimebadilika ghafla, sometimes napiga mito kwa hasira na kupiga vikombe na kung'ata meno yangu. Sijui nitawezaje kuishi na mke kwa hali hii.
Now sitaki kumuona mpaka ni recover kutoka kwenye hii hali, sitoruhusu tena kuvaa mbele yake baada ya tendo. Hapa nadondosha chozi na screen imeloa kiasi chake, kwa uchungu nilionao.
Anyway tusaidiane kwa hili, naona muda unayoyoma na dalili ya ku recover siioni!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umenikumbusha fb group flan hivi mdada anauliza anataka wagombane na mpenzi wake afanyeje kamiss ugomvi Kuna mtu akajibu mpapase trako [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]