Ni wiki moja tangu nimalize chuo, ila nimeanza kupauka ni Nini hii😔

Kumaliza chuo sio kwamba ndio chap unaanza kujitegemea.

Rudi kakae kwanza kwa wazaz/walezi. mpaka hapo mishe zikieleweka.

Na Kama ulipanga bas najua ulishajua utajisort vipi baada ya kumaliza chuo na kipind cha kusubiria matokeo na transcript itoke...
 
Usijali utakuja pata pesa tu , ila jichanganye na wana 🤔
Katika harakati za kujichanganya na Wana,
Kulikuwa na msichana...
Na Wana walikuwa mtaa kitambo sana..
walikuwa wakimsarandia ,
Mi nikafika akanikubali ..bila mtongozo akajiachia,
Me nikajilia..
Sikuagalia..
Maslahi yakajipandia..
Wana wakanichukia..

Nasema hivi mtoa mada ukifika huko mtaa never outshine the masters..
 
Sure bro mda mwingine unatumia ukidume tu , gademiiit
 
Nyie si ndio mnajiita First time Voters?? na Mmefanya matamasha na Yule Katibu wa UVCCM vyuoni uko mkisema kuwa nyie first time Voters October mnatiki tu, Sasa Vyuo vimefungwa na wengine wamemamliza Subirini October Mtiki tu

Ndio man Bagonza amewaita Gen z Wa ovyo
 
Pambania kombe mkuu usikae kizembe soma gemu la mtaa limekaaje kiongozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…