Ni wiki moja tangu nimalize chuo, ila nimeanza kupauka ni Nini hii😔

Ni wiki moja tangu nimalize chuo, ila nimeanza kupauka ni Nini hii😔

Nahitaji vijana 25 wa kubandika Mabango ya wider ya kampuni ya (sim) kwa mawakala. Vijana wanatakiwa kukutana na mm kesho asubuhi kesho 13/07/202/ Tegeta Kibo daresaalam. Piga namba hii 0768 091 240 au 0628731833


Malipo ni 25,000 kwa siku
🤔🤔
 
Kumaliza chuo sio kwamba ndio chap unaanza kujitegemea.

Rudi kakae kwanza kwa wazaz/walezi. mpaka hapo mishe zikieleweka.

Na Kama ulipanga bas najua ulishajua utajisort vipi baada ya kumaliza chuo na kipind cha kusubiria matokeo na transcript itoke...
Wazazi wakikuchoka wanakuundia tukio wanakutimua, mm waliniundia tukio la fedheha wakanitimua niondoke kwao.
 
Inaonekana ulikuwa unalipiwa kila kitu college.
Sasa umekutana na uhalisia wa maisha
Utazoea tu
 
Hapo bado Yani bado hizo ni rasha rasha

Tulia ukandwe mpauko konk unakuja
 
Oga vizuri, paka mafuta, dawa ya kupauka, msomi hujui namna ya kushughulikia na kupauka???!!!
 
Oga vizuri, paka mafuta, dawa ya kupauka, msomi hujui namna ya kushughulikia na kupauka???!!!
 
Jifunze kuendesha Bajaj na boda ili maisha yaende wakati unasubiri ajira
 
Tafuta kama 50,000/- then uende karume au tandika kanunue nguo za Mtumba za kike uuze/ utembeze
 
Hali hii huchukua muda kidogo kupona ni jambo la kawaida usiogope
 
Back
Top Bottom