Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 23,114
- 29,434
Niuzie hiyo simu nimalizie mkopo kabla hawajaifungia.Naona nguo zimeanza kupauka
Sina mishe
Sina harakati
Mbaya Zaidi Nina simu ya mkopo😞
Niuzie hiyo simu nimalizie mkopo kabla hawajaifungia.Naona nguo zimeanza kupauka
Sina mishe
Sina harakati
Mbaya Zaidi Nina simu ya mkopo😞
Jichanganye mtaani mapema kabla depression haijaanza mapema, usichague kazi. Take this one serious, the rest mwachie mungu...Naona nguo zimeanza kupauka
Sina mishe
Sina harakati
Mbaya Zaidi Nina simu ya mkopo😞
Oya mtaani bila kutuomba msamaha form 4 wa division 4 ya 28 enzi hizo utateseka sana😂😂😂😂Naona nguo zimeanza kupauka
Sina mishe
Sina harakati
Mbaya Zaidi Nina simu ya mkopo😞
Pakaa MafutaNaona nguo zimeanza kupauka
Sina mishe
Sina harakati
Mbaya Zaidi Nina simu ya mkopo😞
Na kauli mbiu yake ya Mwanakondoo ameyashinda mautiNyie si ndio mnajiita First time Voters?? na Mmefanya matamasha na Yule Katibu wa UVCCM vyuoni uko mkisema kuwa nyie first time Voters October mnatiki tu, Sasa Vyuo vimefungwa na wengine wamemamliza Subirini October Mtiki tu
Ndio man Bagonza amewaita Gen z Wa ovyo
Fursaa🫰🙏Nahitaji vijana 25 wa kubandika Mabango ya wider ya kampuni ya (sim) kwa mawakala. Vijana wanatakiwa kukutana na mm kesho asubuhi kesho 13/07/202/ Tegeta Kibo daresaalam. Piga namba hii 0768 091 240 au 0628731833
Malipo ni 25,000 kwa siku
Hahaa, Hapa unamcheka jamaa alivyopauka ndani ya muda mfupi,
Oya huku asije tumetosha ataongeza ugumu wa kaziNenda K/koo kapige uwinga ijapokuwa nao wanalalamika idadi yao imetosha
Wewe bado mpaka kila kitu cha chuo kiishe urudi kwenye default mode ndio uingie mtaani sasaNaona nguo zimeanza kupauka
Sina mishe
Sina harakati
Mbaya Zaidi Nina simu ya mkopo😞
Vunjeni viapo mwee! Watu walione jua.Oya mtaani bila kutuomba msamaha form 4 wa division 4 ya 28 enzi hizo utateseka sana😂😂😂😂
Tulia dogo safar ndo kwanzaa imeanzqNaona nguo zimeanza kupauka
Sina mishe
Sina harakati
Mbaya Zaidi Nina simu ya mkopo😞
Niutata kaka😂😂Vunjeni viapo mwee! Watu walione jua.
Graduates 😄