Ni wiki moja tangu nimalize chuo, ila nimeanza kupauka ni Nini hii😔

Ni wiki moja tangu nimalize chuo, ila nimeanza kupauka ni Nini hii😔

Kaka mtaani ukiamka mzima ndio boom lako 😂😂😂
😂😂 Wahitimu wanaelewa lakini?
Hapo ndiyo jobless promax official maana Wana sifa za kupata KAZI na hawana kazi bado.
Wajitahidi kuelewa mfumo wa kitaa katika upambanaji.
 
Back
Top Bottom