Ni wiki moja tangu nimalize chuo, ila nimeanza kupauka ni Nini hii😔

Naona nguo zimeanza kupauka
Sina mishe
Sina harakati

Mbaya Zaidi Nina simu ya mkopo😞
Jichanganye mtaani mapema kabla depression haijaanza mapema, usichague kazi. Take this one serious, the rest mwachie mungu...
 
Jitahidi uwe unaandika Sana Ila mambo yanayokujeng na kuwajenga wengine .
 
Na kauli mbiu yake ya Mwanakondoo ameyashinda mauti
 
Nahitaji vijana 25 wa kubandika Mabango ya wider ya kampuni ya (sim) kwa mawakala. Vijana wanatakiwa kukutana na mm kesho asubuhi kesho 13/07/202/ Tegeta Kibo daresaalam. Piga namba hii 0768 091 240 au 0628731833


Malipo ni 25,000 kwa siku
 
Naona nguo zimeanza kupauka
Sina mishe
Sina harakati

Mbaya Zaidi Nina simu ya mkopo😞
Wewe bado mpaka kila kitu cha chuo kiishe urudi kwenye default mode ndio uingie mtaani sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…