Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 14,350
- 27,420
๐ค๐คNahitaji vijana 25 wa kubandika Mabango ya wider ya kampuni ya (sim) kwa mawakala. Vijana wanatakiwa kukutana na mm kesho asubuhi kesho 13/07/202/ Tegeta Kibo daresaalam. Piga namba hii 0768 091 240 au 0628731833
Malipo ni 25,000 kwa siku
Wazazi wakikuchoka wanakuundia tukio wanakutimua, mm waliniundia tukio la fedheha wakanitimua niondoke kwao.Kumaliza chuo sio kwamba ndio chap unaanza kujitegemea.
Rudi kakae kwanza kwa wazaz/walezi. mpaka hapo mishe zikieleweka.
Na Kama ulipanga bas najua ulishajua utajisort vipi baada ya kumaliza chuo na kipind cha kusubiria matokeo na transcript itoke...
Siku hizi unaoga mara moja kwa siku!Naona nguo zimeanza kupauka
Sina mishe
Sina harakati
Mbaya Zaidi Nina simu ya mkopo๐
Bado hatua moja! Ukianza kuongea peke ako...njoo uombe ushauri sasa.Naona nguo zimeanza kupauka
Sina mishe
Sina harakati
Mbaya Zaidi Nina simu ya mkopo๐
Huyu siku hizi haogi mpaka apate safariOga vizuri, paka mafuta, dawa ya kupauka, msomi hujui namna ya kushughulikia na kupauka???!!!
Mpeni mwongozo love. Sometimes life fuckss
Mtaani hakuna boom kaka! Khaa๐๐Niutata kaka๐๐
Kaka mtaani ukiamka mzima ndio boom lako ๐๐๐Mtaani hakuna boom kaka! Khaa๐๐