Ni wiki moja tangu nimalize chuo, ila nimeanza kupauka ni Nini hiiπŸ˜”

Kaka mtaani ukiamka mzima ndio boom lako πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚ Wahitimu wanaelewa lakini?
Hapo ndiyo jobless promax official maana Wana sifa za kupata KAZI na hawana kazi bado.
Wajitahidi kuelewa mfumo wa kitaa katika upambanaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…