Ni wilaya gani ambayo unadhani baada ya miaka 15 itakuwa Manispaa?

Ukisema imegwe na Newala Mtwara itakuwa imeisha. Waichukue Nachingwea na either Liwale au Ruangwa na Nanyumbu. Lindi ni kubwa mno..
Nadhani nachingweA na ruangwa ndo itakuwa safi...hata lami ile ya mangaka kwenda ruangwa me sikuikubali...lami ingefaa ipigwe kutoka masasi mpk ruangwa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Japo sijatembea wilaya yingi Ila kwa kule Kusini hakuna wilaya iliyo juu zaidi ya MASASI.. So i can say that Masasi is among of the best district for now na inastahili kuwa Municipal kwa siku chache mbeleni
Uchumi wa masasi unategemea nini zaidi..? Na labda mzunguko wa pesa ukoje pale masasi
 
Bora ungesema wilaya ipi itakuwa Chatto. Kwani huko Kahama barabara walijenga?
 
Nadhani nachingweA na ruangwa ndo itakuwa safi...hata lami ile ya mangaka kwenda ruangwa me sikuikubali...lami ingefaa ipigwe kutoka masasi mpk ruangwa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Nafikiri ulitaka kusema Rami ya Nanganga to Ruangwa.

Kwakweli wakipata Mkoa utakuwa moja ya mkoa promising sana. Wilaya zote hizo zina potential kubwa ya kilimo cha biashara kama korosho, ufuta, mbaazi na choroko
 
Uchumi wa masasi unategemea nini zaidi..? Na labda mzunguko wa pesa ukoje pale masasi
Biashara..pale NI njiapanda ya kwenda tunduru songea pia nachingweA mok ruangwa pia newala na pale mpk watu wa msumbiji wanakuja kufunga mizigo pale..just imagine mizigo inapita Lindi inafika kwanza masasi then wafanyabiashara wa kutoka Lindi ndo wanaenda kufunga mzigo masasi

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Uchumi wa masasi unategemea nini zaidi..? Na labda mzunguko wa pesa ukoje pale masasi
Kilimo.. Masasi kuanzia mwezi huu mpaka mwezi December panakuwa busy sana na biashara ya mazao. Choroko, Ufuta, Mbaazi na Korosho zote wanazalisha kwa kiwango kizuri tu

Pia biashara ya uchuuzi maana wapo njia panda ya wilaya nyingi Tu kama Tunduru, Nachingwea, Newala
 
Nafikiri ulitaka kusema Rami ya Nanganga to Ruangwa.

Kwakweli wakipata Mkoa utakuwa moja ya mkoa promising sana. Wilaya zote hizo zina potential kubwa ya kilimo cha biashara kama korosho, ufuta, mbaazi na choroko
Yeah NI mangaka sorry huwa Nazi confuse hizi sehem Nina mwaka mmoja Huku kusni kikazi so bado sijamaster Maeneo yote kuyakariri

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Ndio ila kibo muda sio mrefu watarudi kwenye game...imefungwa kote mok kwenye kitimoto ingawaje upande ulioathirika Sana NI lounge ndani

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Ok, mimi ningekuwa karibu na mmiliki wa lile eneo ningemshauri ahamishe lile duka la vinywaji la jumla pale nje, avunje lile jumba kuukuu alipoweka casino halafu eneo la kitimoto lisogee lilipo duka la vinywaji sasahivi ili kuongeza eneo la Bar ya nje na nightclub maana nimeshuhudia mara ya mwisho kwenda kibo palijaa raia si mchezo yaani sijawahi kushuhudia ujaaji wa vile kuanzia counter ya nje mpaka nightclub.
Pia eneo la parking lilikuwa linamsuta jamaa
 
Nafikiri ulitaka kusema Rami ya Nanganga to Ruangwa.

Kwakweli wakipata Mkoa utakuwa moja ya mkoa promising sana. Wilaya zote hizo zina potential kubwa ya kilimo cha biashara kama korosho, ufuta, mbaazi na choroko
Unachekesha mbona miaka yote wakulima wa korosho mtwara na Lindi ni maskini wa kutupwa tu.
 
Hivi masasi haiko boda ya msumbiji..?
 
Daah! Unanishawishi mkuu...! Najipanga kuelekea kusini hasa mtwara/masasi kufanya biashara ya chakula.
 
Karib Sana mkuu pale masasi huwezi amini watu wanakesha usiku kucha.ndo sehemu pekee ambayo guest zake hazina limit ya mwisho saa tano

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Nimewahi kuishi maeneo ya Nanganga hapo, nilikuwa nafanya kilimo cha tikiti ila nilipigwa ni wachawi hatari na uzinzi ndiyo wenyewe.
 
Nimewahi kuishi maeneo ya Nanganga hapo, nilikuwa nafanya kilimo cha tikiti ila nilipigwa ni wachawi hatari na uzinzi ndiyo wenyewe.
Uzinzi kila sehemu upo kuanzia tunduru,namungo, mnazimmoja mingoyo mpk Lindi town so inategemea na Tabia zako TU km huna kampani na wazinzi Basi hutakuwa mmoja wao

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Hivi masasi haiko boda ya msumbiji..?
Masasi ni kubwa.. Ila pia Masasi ipo boda ya kwenda Msumbiji kijiji cha Sindano na Chikoropola.

Kijografia imepakana na Newala na Msumbiji upande wa kusini, Lindi Vijijini (Mtama) upande wa mashariki, Ruangwa na Nachingwea upande wa Kaskazini na Mangaka upande Magharibi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…