Basi sawa!nimechangamsha genge tu mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi sawa!nimechangamsha genge tu mkuu
Wanakosea mkuu:-1. Fulani katoa nyimbo mpya.
2. Umeisikiliza nyimbo ya fulani?
Naombe kujua ikiwa neno WIMBO limefutika kabisa. Maana mtaani ni NYIMBO bila kujali uwingi. Inamaana sasa hatuna sentensi (Wimbo wa taifa) bali ni ( nyimbo ya taifa)?
1. Fulani katoa nyimbo mpya.

Tunakosea sana na kuharibu lugha yetu adhimu ya Kiswahili1. Fulani katoa nyimbo mpya.
2. Umeisikiliza nyimbo ya fulani?
Naombe kujua ikiwa neno WIMBO limefutika kabisa. Maana mtaani ni NYIMBO bila kujali uwingi. Inamaana sasa hatuna sentensi (Wimbo wa taifa) bali ni ( nyimbo ya taifa)?
Siku watu wanaita Arizi badala ya Ardhi, Tafazali badala ya Tafadhali.
Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Sehemu pekee kiswahili kimebaki kinatamkwa kwa ufasaha ni Zanzibar tu hebu msikilize kiongozi wa Zanzibar yeyote akiwa anahutubia utapenda sana.Milasi badala ya mirathi
Ulisi badala ya urithi
Akuna badala ya hakuna
Samani badala ya thamani
... tutakoma tunaopenda Kiswahili fasaha katika matamshi na maandishi
Sehemu pekee kiswahili kimebaki kinatamkwa kwa ufasaha ni Zanzibar tu hebu msikilize kiongozi wa Zanzibar yeyote akiwa anahutubia utapenda sana.
Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Bora hata ya tafazali, mimi nilikuwa nasema "asavali" 🤣Siku watu wanaita Arizi badala ya Ardhi, Tafazali badala ya Tafadhali.
Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Utakuwa unatokea ileje mkuu sio bure.Bora hata ya tafazali, mimi nilikuwa nasema "asavali" [emoji1787]
..Tatizo hili linakuzwa sana na hawa waandishi wa habari wa hivi vituo vya radio vya siku hizi ...mnaita FM....ukiwasikiliza, kama wewe ni mpenzi wa kiswahili fasaha basi waweza tamani kuziba masikio kwa viganja vya mikono ili usisikie kile wasemacho! na sasa imeambukiza hata magazeti....
Wengine wamekuwa wakiita "Mwimbo".1. Fulani katoa nyimbo mpya.
2. Umeisikiliza nyimbo ya fulani?
Naombe kujua ikiwa neno WIMBO limefutika kabisa. Maana mtaani ni NYIMBO bila kujali uwingi. Inamaana sasa hatuna sentensi (Wimbo wa taifa) bali ni ( nyimbo ya taifa)?
sitofahamu -- I won't understandManeno mengi hawa vioo vya jamii wanaharibu.
Kama:
Sintofahamu badala ya Sitofahamu