Ni Wimbo au Nyimbo?

Ni Wimbo au Nyimbo?

1. Fulani katoa nyimbo mpya.

2. Umeisikiliza nyimbo ya fulani?

Naombe kujua ikiwa neno WIMBO limefutika kabisa. Maana mtaani ni NYIMBO bila kujali uwingi. Inamaana sasa hatuna sentensi (Wimbo wa taifa) bali ni ( nyimbo ya taifa)?
 
Wanakosea mkuu:-

Wimbo -Song
Nyimbo - Songs.
 
Lugha ipo kutimiza mahutaji yetu na si kutupa vifungo na sheria as long as umeelewa nothing else

muda mwengine sionagi faida ya utofauti wa R na L
 
Tunakosea sana na kuharibu lugha yetu adhimu ya Kiswahili
1. Fulani katoa nyimbo mpya.

2. Umeisikiliza nyimbo ya fulani?

Naombe kujua ikiwa neno WIMBO limefutika kabisa. Maana mtaani ni NYIMBO bila kujali uwingi. Inamaana sasa hatuna sentensi (Wimbo wa taifa) bali ni ( nyimbo ya taifa)?
 
Tunakosea sana na kuharibu lugha yetu adhimu ya Kiswahili
1. Fulani katoa nyimbo mpya.

2. Umeisikiliza nyimbo ya fulani?

Naombe kujua ikiwa neno WIMBO limefutika kabisa. Maana mtaani ni NYIMBO bila kujali uwingi. Inamaana sasa hatuna sentensi (Wimbo wa taifa) bali ni ( nyimbo ya taifa)?
 
1. Fulani katoa nyimbo mpya.

2. Umeisikiliza nyimbo ya fulani?

Naombe kujua ikiwa neno WIMBO limefutika kabisa. Maana mtaani ni NYIMBO bila kujali uwingi. Inamaana sasa hatuna sentensi (Wimbo wa taifa) bali ni ( nyimbo ya taifa)?
Tunakosea sana na kuharibu lugha yetu adhimu ya Kiswahili
 
Milasi badala ya mirathi
Ulisi badala ya urithi
Akuna badala ya hakuna
Samani badala ya thamani
... tutakoma tunaopenda Kiswahili fasaha katika matamshi na maandishi
Sehemu pekee kiswahili kimebaki kinatamkwa kwa ufasaha ni Zanzibar tu hebu msikilize kiongozi wa Zanzibar yeyote akiwa anahutubia utapenda sana.

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
..Tatizo hili linakuzwa sana na hawa waandishi wa habari wa hivi vituo vya radio vya siku hizi ...mnaita FM....ukiwasikiliza, kama wewe ni mpenzi wa kiswahili fasaha basi waweza tamani kuziba masikio kwa viganja vya mikono ili usisikie kile wasemacho! na sasa imeambukiza hata magazeti....
 
Mpaka wanatia kinyaa kuwasikiliza. Ni uharibifu mtupu wa lugha yetu
..Tatizo hili linakuzwa sana na hawa waandishi wa habari wa hivi vituo vya radio vya siku hizi ...mnaita FM....ukiwasikiliza, kama wewe ni mpenzi wa kiswahili fasaha basi waweza tamani kuziba masikio kwa viganja vya mikono ili usisikie kile wasemacho! na sasa imeambukiza hata magazeti....
 
1. Fulani katoa nyimbo mpya.

2. Umeisikiliza nyimbo ya fulani?

Naombe kujua ikiwa neno WIMBO limefutika kabisa. Maana mtaani ni NYIMBO bila kujali uwingi. Inamaana sasa hatuna sentensi (Wimbo wa taifa) bali ni ( nyimbo ya taifa)?
Wengine wamekuwa wakiita "Mwimbo".
 
Back
Top Bottom