KIOO
Jamaa umeutendea haki sana huu uzi! Watu walishapoteana ikabaki requests hazina majibu. Big up sana.

Mie nina ombi la nyimbo za TOT Plus Band chini ya Legendary Banza Stone!

Wakati huo wanawika walikuwa na wimbo ambao sina uhakika na jina utakuwa ni mtoto wa mtaani au mtoto yatima lakini unazungumzia mtoto aliyeokotwa na kulelewa na watu baki hivyo amekuwa mkubwa hajui kabila lake wala dini!!

Ombi la pili ni wimbo wa Maprosoo.

Natanguliza shukrani nyingi kwako
 
Jamani nina huitaji wa ngoma za sister p mwenye nazo msaada
 
Mwenye wimbo wa Bizman- nikupeleke kwa baba/ nateseka juu yako. Msaada please..
 
Wakuu kuna wimbo nautafuta sana

Baadhi ya mistari yake

Siku ulioondoka nashindwa kuamini hajui kama utarudi lini uniambie kosa langu nini hadi ukaamua mamy kunipiga chini naomba mamy we rudi nyumbani mwenzio bado niko matatani

Mkuu Idimi kama unao naomba uuweke hapa
 
Yoram-Moyo Unauma
 
Naombeni nyimbo za mamong'ooo
Hawa jamaa hatari sana ila basi tu mziki huu
 
Naombeni wimbo ambao ameimba JIMMY MAZANGA, (mziki wa Dance-congo), kibao kipya sijui jina lake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…