Wakuu msaada wa huu wimbo

Baadhi ya mistari yake

Uchungu wa mapenzi unauma sana usiambiwe uchungu wa mapenzi unauma sana usiambiwe mpenzi wangu nishike mkono usiniachie ukiniacha nitaenda wapi mimi

Kiitikio

Helo napiga simu pokea baby am sorry

Wakuu kama kuna mtu anao naomba auweke hapa natanguliza shukrani zangu [emoji120][emoji120]
 
Kuna wimbo aliimba Godfrey Gregory (GG) unaitwa "Mke ni ndugu au rafiki"... nauomba...

Huyu ndiye aliyeimba vibao kama "Penzi la kweli" na "Hellow"
 
"Unaonekana Unaye" ya Mez B naiomba wakuu...

Pia Neema ya Makamua ft Dully & Mr Blue
 
Hiyo ngoma inaitwa Pokea Simu yake Ruta Bushoke.....hope Kioo atakuwa nayo pia!
 
Mkuu KIOO naomba nisaidie ngoma Ray c upo wapi na Baby girl mad ice yamenikuta GWM na nyimbo fulani hivi ya wana manzese kiitikio chake kila mtu na starehe yke anae tumia ujuzi wake na hayo ndio mapenzi yke... muhimu sna kaka plz
 
Attachments

Shukuran sna kaka heshima kwako gwm yamenikuta basi mkuu
 
Mkuu KIOO naomba unisaidie huu wimbo kama unao [emoji120] [emoji120]
 
Mkuu Nichekie "Unaitwa Nani" Ya Q Chief Ft Solo Thang
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…