mzee msakata
Member
- Dec 6, 2016
- 77
- 86
Wakuu nisaidieni wimbo wa Top Band Unaitwa Wazuri ni Wengi
Haya Haya Haya wakuu
Nipo hapa kwa shida moja tu.
Naomba huu WIMBO
1.LES WANYIKA_KASUKU.
BOOOOOOOOOOOOM
Pamoja wakuu.
Kioo
Idimi
Gwankaja
Boooooooooooom
Noma mwanangu KIOO.
Hamna mkuu hiyo naipenda tu.Dedication kwa shemeji nini mkuu...? 😊
enjoy!Hamna mkuu hiyo naipenda tu.
Naomba hii ya
MB DOG_NATAMANI
BOOOOOOOOOOOOM
Hamjaomba ati. Zipo teleMbona nyimbo za gospel hatupati?
Wimbo wa roho 7 waite polisi!
Wewe unataka uwekewe tu.....kuweka hutaki?Mm nataka nyimbo zote za Komba kipindi cha kampeni tuwekee hapa tujimwage