KIOO kuna ngoma moja ya watu pori tusameheane sijui kama ishaweka humu..msaada tafadhali..ina kiitikio Fulani hivi *Tafadhali ndugu yangu usinichukie..
 
Msela Ngwea ft Juma nature and KR mullah
Please forgive me- P funky ft Dully Sykes
Katika kila jamii- Bamboo wa kenya katumia beat ya Msela ya Ngwea
 
Daaah thank you Sooooo... much i real like this song nimeutafta sana bila mafanikio aiseee daah
 
Daaah thank you Sooooo... much i real like this song nimeutafta sana bila mafanikio aiseee daah
 
Daaah thank you Sooooo... much i real like this song nimeutafta sana bila mafanikio aiseee daah
 
Naomba mwenye wimbo flani sauti nilivyoisikia naona ni barnaba boy
Wimbo anaimba maneno flani
'' Nananaaaa naogopa.........
.....moyo ukadunda dunda nikaogopa love...
Nananaaa naogopa....

KAMA KUNA AMBAYE ALISHAWAHI SIKIA WIMBO HUO TAFADHARI SAUTI NI BARNABA ILA SINA UHAKIKA KAMA NI YEYE NA NMEUTAFTA SIJAUPATA
 
unaitwa Sijutii kwa niliyempata
 
Nimeusaka sana wimbo wa Kapteni John Komba "MGENI". Unazungumzia ugonjwa wa UKIMWI.

Atakayeweza kunipatia huo wimbo namtumia shilingi elfu 10 cash.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…