Usjali tuko pamoja kiongozi.

Kwa nini uliamua kujiita hivyo, imetokana na nini hii username yako chai_nazi. Thanks.
Kuna rafiki yangu alikwama (haambiwi, hasikii) kwenye mahaba na mdada mmoja hivi, sasa nikawa namtania yule shemeji yangu "apunguze tui kwenye chai" wanacheeka, ikawa utani mpk leo tunaitana "chai nazi", mkuu hiyo ndio asili ya chai_nazi ya JF, ahsante

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Oooh Owkay that's great mkuu.

👊🏽
 

Unamaanisha huu mkuu...?
 

Attachments

Kuna wimbo unaimba "ile sana tunafanana, kutwa nzima tunaongozana " ni bongo fleva na umetengenezwa na Abbah. Naomba anayeufahamu.
 
Wadau naomba wimbo wa
1. Mtaa wa kwanza = Ally Choki
2. Mama chichi = Suleimani Mbwembwe ft Banza stone
3. Makonda hivi ni kwa nini = Sostenesi ambakisye
4. Nyimbo za mchinga sound mle ndani kuna mtu anaitwa rogart hega.
5. Dodoma = Cosmas Chidumule

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu kuna wimbo Leo nimeusaka nimeuona East African tube nimeshindwa kuupakua mana jinsi ya kuupata una maelezo meengi mwenye nao autupie hapa tuupakue wa msanii anaitwa mad brain wmbo unaitwa ahadi za bosi tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…