Kuna wimbo mmoja wa Zaire kipindi hicho jamaa kaimba msiyapusi wala neno msiyambuliii vuma yama vuma likaso ayayuleyule andooooo nimepuyanga tu hata sijui waiimbajee
 
Kuna wimbo mmoja mshikaji kaimba kama ana lalamika fulani inaimbwa hivi"pilipili machoni usiku sioni" sijui kama nimepatia inahusu kunyanyaswa kwa yatima na kumwagiwa pilipili machoni bongo flava ya zamani alikuwa ander ground wa kipindi hicho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Niishi vipi nikae nani hapa duniani moshi wa pilipili machoni chozi la damu mbele sioni" ni baadhi ya mashairi ya wimbo ambao niliuomba mwanzo jina la msanii simjui alikuwa ander ground wa kipindi hicho bongo fleva inapamba moto nisaidie kuusaka huu wimbo na mwingine sijui ni kaka man kuna baadhi ya maneno anaimba hivi "aishaaee raha ya mechi baoo"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nshitaji nyimbo zingine mbili moja ya taarab ya zamani saana inaitwa nyama bata itamu nyama ya bata ni tamu-TOT TAARAB na ya pili ni TAARAB Sijui inaitwa mtwangio sina hakika na jina hilo please

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…