Hip hop moja ngumu imesimama sana ingawa sikumbuki wamechana kina nan...ya kitambo, biti yake mizinga inaskika sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenye wimbo wa Saida Kalori na Banana Zorro....mpenzi nakupenda...naomba!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nafikiri ni huuMkuu wimbo wa spack ft chid benz-laiti ungejua na y-ton :-masebene...kama unazo tupia mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Pata Usingizi nahisi kama ndo hii au vipi?Lilikua ni kundi ambalo namkumbuka fid q pekee,singo yao niliisikia mwaka 2001 kiss FM.Kila jioni kwenye kipindi cha bongo flavor na kina dj malis ilikua inapigwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jaribu huuJaman please naomba mnisaidie kuna nyimbo nnaipendaga sana lakin simjui msanii wala jina la nyimbo kwahyo nnashindwa kuupata youtube.
Ila nnaujua baadhi ya vionjo vyake.
"... Oe oe oeoo, oe oe oaa..." ×2
Anaimba hivyo ni saut ya kike.
Anaeujua please[emoji120][emoji120][emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka kama una wimbo wa Whitney Houston whatchulookinat remix ft Pdiddy kama unao naomba unitumie naona wadau wameuchuna humu sijui kwa niniJaribu huu
Pata Usingizi nahisi kama ndo hii au vipi?
Naombeni Alifu kwa Ujiti ya Fatma na Jos Mtambo