Shukrani mkuu..
Kama una Mama Halima yenye quality nzuri naiomba!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaitwa "Naamini nitashinda", upo juu pekua utauonaKuna wimbo professor jay wa mapenzi.anaimba anasema "Unampa lift nyani me unaniacha njian" naomba mwenye nao
Acha hiyo kuna nyingine kabla ya hiyoUnaitwa "Naamini nitashinda", upo juu pekua utauona
Sent from my SM-G610F using Tapatalk
Mwenye wimbo wa chelea man msela na choka mbaya dadaz anigawie.
Mwenye wimbo wa Majoblesss_ BDP Tafadhali anisaidie!
Kuoana ni jambo la sifa: Patrick Balisidya