mkuu nisaidie wimbo wa sogy dog -nilikaona jana
Nahitaji.
1. Neila, tundaman ft chid benz
2.Jiachie, chid benz
3. We ndo mchizi wangu, nako2nako
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi natafuta ule wimbo wa watoto wa radio one
Natamaani saana kuupata wimbo unaoitwa BEATRICE umeimbwa na Zahir Zoro & Mass Media band kipindi hicho
Huna Nidhamu - Dudubaya
Wimbo wa Dua la kuku, wa sikinde. Albam iliyorekodiwa Kenya baada ya kufungiwa na RTD miaka ya 80
Sent using Jamii Forums mobile app