Kuna wimbo fulan aliimba late Godzilla ila nmeusahau jina ila kuna baadh ya sehem aliimba hiv
"Tulikaa ktan tukpga soga
Tukila ugal yan mlo mmoja
Tuliokata tamaa tulikula viroba
Waliokata tamaa walikula poda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Oya mkuu kioo Kama ngoma ya wana lunduno waliomuimbia mangwea aliokufa.....inatembea ka hivi

Moment of silence..
Kitambaa cheusi mkonon. Safari imeshafika mwishoni......
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu KIOO kuna nyimbo mbili pili nilishazitafuta sana bila mafanikio.

Joselyn & lady jaydee- umewezaje

Profesa jay & ladyjaydee- nimeamini


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nilipozigusa zikawa zinajidownload. Tatizo nikirud kuzitafuta kwny file la music ndo sizioni.je nikiingia kupitia chrome ndo zitajisave au? Msaada plz

Sent using infinix zero4
 
Tumia chrome browser utazikuta kwenye folder la Download.
Kuna nyimbo moja sijui kaimba Nani upo hivi:-

Mtoto harufu mbaya, imetawala mwiliniii
Nipo njiani miaka mingi, naelekea sayarini
Navuka mito na mabonde, ili nifike sayarini
Nafsi yangu inanibana na wingi wa mitihani mamamamaaaa ×2

Ni Safari ndefu, iliyochokuwa miaka mingii.........

Nautafuta saana

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Daah! We jamaa, nitakutafuta pm


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…