Leta wimbo nadhani ya wakenya waleJaman please naomba mnisaidie kuna nyimbo nnaipendaga sana lakin simjui msanii wala jina la nyimbo kwahyo nnashindwa kuupata youtube.
Ila nnaujua baadhi ya vionjo vyake.
"... Oe oe oeoo, oe oe oaa..." ×2
Anaimba hivyo ni saut ya kike.
Anaeujua please[emoji120][emoji120][emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
Squizer ft mandojo&domokaya-nenda
Squizer ft Dataz-Baby Wajua why
Ras lion ft John woka-we mlevi usimpige ndugu yako
Sent using Jamii Forums mobile app
sinauhakika ndio wenyewe usikilize
Hapana sio huu.. Wenyewe chorus inaimbwa..sinauhakika ndio wenyewe usikilize
Huu sina mkuuHapana sio huu.. Wenyewe chorus inaimbwa..
Mpenz kwaheri.. Fukara sina baiskeli wala gari..
Mpenzi kwaheri.. Fukara mm hali yangu taabani
Sent using Jamii Forums mobile app