Attachments

Mkuu KIOO tafadhali nisaidie ngoma hizi HAWATUWEZI-Lordyeyes na Enika.... YAMENIKUTA-GWM na Mr.2..... NA WEWE MILELE RayC...SAFARI ya feruz na NIMECHOKA ya keysha na diamond...


Sent from my iPhone using JamiiForums
Mlimbwende ya One Incredible tafadhali.

KIOO

Wakuu mniwie radhi niko tight nafukuzia hizi kazi za Bandari halaf bado siku 1 tu ndo mana mnaona kimya kiasi sorry for that wakuu.

Naombeni dua zenu wakuu nifanikishe katika hilo wandugu.

Regards to all.
 
Wakuu mniwie radhi niko tight nafukuzia hizi kazi za Bandari halaf bado siku 1 tu ndo mana mnaona kimya kiasi sorry for that wakuu.

Naombeni dua zenu wakuu nifanikishe katika hilo wandugu.

Regards to all.
Iwe kheri kwako mkuu.
 

Attachments

Natafuta wimbo mmoja wa kikenya unaimbwa hivi!
Woiii woii parapanda italia....woii woii kesho naishiaa!
Masaa ishaanza naliaa...woiiii...nawikaaa!!!


Mademu flani hivi siwajui jina tatizo.
Wale mademu wanitwa Tatuu. Wimbo unaitwa Mateso ya roho
 

Attachments

Umeomba nyingi mno at once bro. Ngoja tuone tunakusaidiaje. Be patient
 

Attachments

Ngoja tuone
 

Attachments

Msaada tutani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna nyimbo moja sijui kaimba Nani upo hivi:-

Mtoto harufu mbaya, imetawala mwiliniii
Nipo njiani miaka mingi, naelekea sayarini
Navuka mito na mabonde, ili nifike sayarini
Nafsi yangu inanibana na wingi wa mitihani mamamamaaaa ×2

Ni Safari ndefu, iliyochokuwa miaka mingii.........

Nautafuta saana

Idimi, Kioo nisaidieni
Sent using Huawei P9

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…