Tunabang ya pasu kwa pasu mapacha naiomba
Nataka nyimbo ya Juma nature na Stopper inaitwa Jiwe halafu Stopper inaitwa style tatu. Asante
Benjamin wa mambo jambo - Kinanda
Nimeona wimbo wa una mipango wa hot pot family upo web ya rubega nimeshindwa kuupakua nisaidieni kuupata tafadhali
Naomba wimbo wa kibinda nkoyi umeimbwa kama sikosei na Koffi Olomide
Wakuu ninaomba nyimbo hzo hapo kwenye orodha hata zisipokuwa zote natanguliza shukran
View attachment 1075866
Mkuu wimbo wa tumbulo sina makosa
D Knob ft Mez B - Usiniache
Mimi nautafuta wimbo wa soka la bongo wa Wagosi wa Kaya mwenye naomba auweke!
Huu ni Uzi Maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.
View attachment 628965
1.Mr Afisa wa Squizer na Dataz
2.Sikutaki Tena Dataz na Soggy Doggy
3.Mtoto wa Marehem wa Soggydogg
4.Safari na Njoo zote za Feruzi wa Daz nundaz
Pia kuna nyimbo kashirikishwa Dully sykes kwenye chorus..
"Nakusihi, rudi nyuma njoo uishi nami
makosa niliyoyafanya sirudii......
Verse
Kwenye life si sawa, live naugua, jinsi nilivyopagawa we hauwezi kujua, wewe kwangu ndio dawa we mwenyewe unajua akili bado si sawa ninusu yakujiua.....
Nisaidieni sana yaani verse zote nilizikalili ila jina la wimbo silijui.
Kuna nyimbo zilikuwaga na video ila nikienda youtube najuta cover tyu kama banza stone elimu ya mjiga kina viwete wanacheza hatar, kuna crazy t lekambuke yuko na dokii,kuna mr Paul nakuzimia yuko na demu wa kihindi
Sent using Jamii Forums mobile app
Maumivu mangapi ya moyo niliyoyapata sijali.. Sijaliii..