kila ninavyozidi kizisikiliza na nyingine zinanijia maana mwaka nilikua nina kanda (tape) 198 nakumbuka na zote nilikua narecord vipind vya bongo flaver vya Abubakary Sadiq so nina correction naanza kuirudisha kupitia humu..
kuna hizi nyingine.
Jaji Hakim-hivi ndivyo ninavyofanya
Wakina Mike Tee- Masela ( hae hae masela, tupo kamili si masihala, hae hae masela)
Style Gani - jamaa wa kundi la kina joslyn
Zay B ft Jay Mo - Hatari Kitu Gani
Kafa- Kafa nani, usiulize we jua tuu amekufa.
Matomya- Mrembo na Uaminifu
Solid- Baba Jane
Zigzagg crue-jiko limenuna
bantu mcz-tangazo